Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,102
mkuu hicho kifungu pengine umwkinukuu vbaya hilo fungu sijaliona!
khaaaa! usiniambie umeemda kukitafuta....lol
mkuu hicho kifungu pengine umwkinukuu vbaya hilo fungu sijaliona!
heri ukutwe na dubu aliyepoteza mtoto kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
mith.11:7
Umechelewa.....kwani.vp?bado upo idle?...ishakula kwakooo
wale wa efu tatu jamani changamkeni
mil 3 bora nikanunue shamba chalinze niweke ardhi kwa mwanangu et zari na domo nikichukua hiyo elfu 50 nawatoa family out na kujiongezea furaha ya familia mitaa ya home tu.
ivi Diamond asichotafuta kabinti ka umri wake kitu gani kila siku anaibuka na walomzidi umri kisa nini??
mbaya zaid huwaga anatafuta wale ambao kama ni bidhaa basi ni ile ya nyongeza yaani hanaga wakwake ambaye ni ingizo jipya na leke yy kama yy

kwann atafute wa size yake? Kuna sheria imeandikwa kwamba ni lazima mwanaume atafute wa size yake? Akishatafuta halafu?
ndugu yangu mzoea vya kunyonga kamwe vya kuchinja haviwezi....kutongoza si kazi rahisi
kwann atafute wa size yake? Kuna sheria imeandikwa kwamba ni lazima mwanaume atafute wa size yake? Akishatafuta halafu?
Wakati mwingine unaweza ukadhani kuwa akili za watanganyika huwa zinaganda na kuyeyuka...na hiyo inajidhihirisha kwa kujinasibisha na vitu vya kipuuzi ambavyo kwa mtu mwenye utimamu wa akili ni aghalabu kuvifanya ama kujinasibisha navyo...kwani kwenye maisha yake havina mantiki.......
Kibaya zaidi kuna watu wameshagundua upungufu wetu wa akili na uwezo wetu mdogo wa kuchanganua mambo...na wanaitumia njia hiyo kujiongezea kipato..na hatimaye kuwa matajiri......WAJINGA NDIO WALIWAO..
ivi Diamond asichotafuta kabinti ka umri wake kitu gani kila siku anaibuka na walomzidi umri kisa nini??
mbaya zaid huwaga anatafuta wale ambao kama ni bidhaa basi ni ile ya nyongeza yaani hanaga wakwake ambaye ni ingizo jipya na leke yy kama yy
ivi Diamond asichotafuta kabinti ka umri wake kitu gani kila siku anaibuka na walomzidi umri kisa nini??
mbaya zaid huwaga anatafuta wale ambao kama ni bidhaa basi ni ile ya nyongeza yaani hanaga wakwake ambaye ni ingizo jipya na leke yy kama yy
heheheee............hehehe nyanya masalo nayo ina utamu wako. Ukiikaanga vizuri mchuzi wakolea rangi.
Napita mie
usifanye mchezo na masharti ya sangoma...