kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
heri ukutwe na dubu aliyepoteza mtoto kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
mith.11:7
hahahaha habari yako mheshimiwa , umekua mtu wa kwanza kunifanya nitabasam Leo
Vipi , wewe unaingilia ipi ?
Mil 3 ?
mil 1?
laki 1 ?
au 50 elf?
Ingekuwepo ya elf 20 hakyanan ningeenda , vp mwenzangu
ivi Diamond asichotafuta kabinti ka umri wake kitu gani kila siku anaibuka na walomzidi umri kisa nini??
mbaya zaid huwaga anatafuta wale ambao kama ni bidhaa basi ni ile ya nyongeza yaani hanaga wakwake ambaye ni ingizo jipya na leke yy kama yy
mil 3 bora nikanunue shamba chalinze niweke ardhi kwa mwanangu et zari na domo nikichukua hiyo elfu 50 nawatoa family out na kujiongezea furaha ya familia mitaa ya home tu.
malaya hapati wa bikra

mkuu hicho kifungu pengine umwkinukuu vbaya hilo fungu sijaliona!heri ukutwe na dubu aliyepoteza mtoto kuliko kukutana na mpumbavu katika upumbavu wake.
mith.11:7
Pole yako...shamba huna na party umeikosa...kalaghabaho babu!!
Huna pesa!!!