Acha wivu wa kikeHata afanye kolabo na Msaga sumu kikubwa aache dharau kwa wenzie.
Mwanamke halindwi kwa silaha.
Nimetoa angalizo tu Mkuu!
Maisha ni kuamini na kuaminiana! And trust is a choice, and i chose to trust her a long time a go.. So no worries here!!
Ila kuwa na gun pia nako si vibaya! You never know when it might come in handy
Nakupendea vingi ujue?
ha ha ha walidhani wakifanya na neyo watajurikana mpaka Marekani kumbe TandaleEddy nimecheka sana.
Hii ya Ne-Yo imeshabuma tayari.
WCB wanahangaika kuufanyia promo kinoma,yenyewe leo bae kanitumia
iTunes haununuliki basi imebidi wanunue wao wausambaze
ha ha ndo wimbo wa kununua iTune??????Unaweza kuingia iTunes na kuinunua right now!
Video imekamilika anytime tunaidondosha.. Release tumepeleka mbele kidogo baada ya tour ya UK na Ne-Yo kusogezwa mbele.. But stay tuned
Kweli wapiga dili mmenyooka, tuliokuwa tunapata kwa halali tayari tuna ticket mkononiwatu hawana hela halafu uniambie nilipe laki kiingilio, sijui kama watapata wateja
Pamoja mkuu. Best of luck.