Stella Njimbwi
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 882
- 575
Hakuna kitu hapa ni muziki tu
Ningeenda kwenye hii part,ila baada ya mambo ya kupumuliana nimekacha kabisaaaa!Hata afanye kolabo na Msaga sumu kikubwa aache dharau kwa wenzie.
Yani Mond kwa kubeba mizoga hatari sasa Hiyo collabo kama IPO lakini nayo ya kujitangazia Ni Sawa dunia ya Leo ufanye collabo na snoop Doggy ujisifie
Kama huna hela ni wewe usisingizie watuwatu hawana hela halafu uniambie nilipe laki kiingilio, sijui kama watapata wateja
alimdharau nani?Hata afanye kolabo na Msaga sumu kikubwa aache dharau kwa wenzie.
njoo kesho hapa born to shine uone tiketi zinavyotoka! nitakupa kuponi moja na nyingine kama una demuTiketi zimebuma ndio maana wanatengeneza kick
Unaogopa kupumuliwa dada?Ningeenda kwenye hii part,ila baada ya mambo ya kupumuliana nimekacha kabisaaaa!
Sipendagi ujinga
Kitendo cha kusema Aliombwa ampumulie Dimpoz mi ckupenda kabisa, hata katika hal ya kawaida msanii mkubwa huwez ukaongea mambo ya ajab km hayo.alimdharau nani?
Nina mwaliko mahala penginenjoo kesho hapa born to shine uone tiketi zinavyotoka! nitakupa kuponi moja na nyingine kama una demu
Acha ufalaUnaogopa kupumuliwa dada?
Kutakuwa na msongamano so kupumuliana kwa sana hewa ya mgandamizobila shaka unaogopa kupumuliwa mkuu..
Ili iweje kwa mfano??Oh dear,not yet...
Mie nazaliwa March 23,save the date.

Hili ni jibu bora la wiki..Watu hawana hela,au wewe huna hela,tokea lini umekuwa msemaji wetu......Isemee nafsi yako kuwa "huna hela"
Siku hizi mTz humgundui tena kwa alama ya ndui ni maneno tuuYani Mond kwa kubeba mizoga hatari sasa Hiyo collabo kama IPO lakini nayo ya kujitangazia Ni Sawa dunia ya Leo ufanye collabo na snoop Doggy ujisifie
Watu hawana hela,au wewe huna hela,tokea lini umekuwa msemaji wetu......Isemee nafsi yako kuwa "huna hela"