Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,316
Vipi ww huendiwatu hawana hela halafu uniambie nilipe laki kiingilio, sijui kama watapata wateja
Watu hawana hela,au wewe huna hela,tokea lini umekuwa msemaji wetu......Isemee nafsi yako kuwa "huna hela"watu hawana hela halafu uniambie nilipe laki kiingilio, sijui kama watapata wateja
Hizi propaganda mpaka kwenye muziki duh!!
Ilipofikia?Ile ya Neyo imefikia wapi hivi sasa?
Tiketi zimebuma ndio maana wanatengeneza kickngoja team fulani waje uone mapovu.