Diamond na Pete ya uchumba kwa Wema

Sizinga

JF-Expert Member
Oct 30, 2007
9,087
5,942
Jamaa keshavalisha pete jana mbele ya maza ake!! Kadai sepetu ana heshima sana mbele yake.
It was suprising kwa Wema Sepetu, she ddnt expect such beautiful event. It was a Diamon Bday by the way.
Ikafuatiwa bonge la Bash ndani ya New Maisha Club.

jsdkdg.jpg


13z7vcp.jpg


2j43jia.jpg


2hnnewy.jpg
 
Kaka kweli mapenzi ni ukipofu!, hivi unaenda kavukavu, waziwazi, au pipi na karatsi?

ila walau kinachojulikana kuliko kisichojulikana, ila mziki utakua mzito mtu wangu. mtachangia, naomba kadi au m pesa akaunti yako.Harusi ni lini kaka yangu? W e no=i miongoni mwa wajasiri wachache. Big up man
 
naoana waleta mambo ya marekani sasa baada wiki kadhaa wanavunja ndoa haya kila la kheli almasi
 
Kaka kweli mapenzi ni ukipofu!, hivi unaenda kavukavu, waziwazi, au pipi na karatsi?

ila walau kinachojulikana kuliko kisichojulikana, ila mziki utakua mzito mtu wangu. mtachangia, naomba kadi au m pesa akaunti yako.Harusi ni lini kaka yangu? W e no=i miongoni mwa wajasiri wachache. Big up man

Ngoja tusubirie manake hapa ndipo pagumu!!
 
wtf suprise,suprise gani wakati alishatangaza mpaka kwenye maredio kila mahali kwamba atamfanyia kitu kikubwa huo mlupo wake.
Ama ndio suprise ya mbagaraaa?
Ila hongera dogo endelea kuwa na moyo wa chuma
 
Wema ana watoto wangapi?umri wa wema na diamond ikoje?anayejua amwage data hapa maana naona diamond bado ni mtoto anabakwa tuu na wema
 
hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii................hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..................hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......................hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
naona dogo kaamua kuingia mzima mzima.....

bahati ya mwenzio usilale mlango wazi, l wish u all the best.
Wema, aache ukurumbembe, kuchumbiwa ni jambo la heri. Dada zake wengi wametamani kuipata chance hiyo lakini haijawatokea, she is lucky.
Sasa ajifunze kusali na kumtegemea Mungu, cheap popularity aachane nazo kabisa.
 
Yeyote kati yetu anayedhani mpenzi/mke wake hakuwahi kunaniiliwa asimame na aseme wazi wazi kuwa aliye naye hajawahi kuf...n..wa. Imetokea tu uko naye na pengine kunako mahala ni kubovu kama nini. Hamjui ni raha gani na dunia ya aina gani jamaa anayoifurahia anapokuwa na Wema Sepetu wake. Kila mtu na starehe yake na mtu wake anayempa raha.

Acheni wivu wakuu, waombeeni waishi maisha mazuri na wajenge familia njema. Binafsi nawafagilia kwani jamaa inaonekana analifurahia sana penzi la wema, nyie mnanuna.

Nimekumbuka verse ya Fid Q................Sisi wabongooo!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom