Anazindua jiji kivipi tena? Isije ikawa ni Diamond anazindua album...mbona magamba wanawapenda wasanii walaini tena wale waliofeli shuleni...I.e Diamond,Suma Lee etc Wangejaribu kuongea na Mrisho Mpoto ili afikishe salamu zake kwa Mjomba..!
Tena wajinga waliokubuhu! Cha kusikitisha waalimu pia wameshurutishwa kuhudhuria,na hivyo kuna baadhi ya shule watoto wameshatangaziwa kuwa hakutakuwa na shule siku hiyo!
huyo diamond analipwa kiasi gani kwenda huko arusha...huyu diamond ana dili gani na jk/serikali? maana issues za chama/serikali anaitwaga yeye...mbona a town wana wanamuziki wengi tu kwanini wasiwatumie wao?