George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,018
- 4,909
- Thread starter
- #41
Doooh...Hawajulikani mkuu na wala siongei kama hater,mi nakwambia fact.watangazaji wa kibongo ndio wanadanganya wasikilizaji wao sana.hata Nigeria nilimuuliza jamaa yangu aliniambia hamjui na wala ngoma zetu hazina airtime kabisa huko,
Kama ni hivyo hatutakuja kuwa na msanii wa kimataifa tena...
Maana juhudi anazozifanya bwana Diamond si mchezo...
Sijui WaTanzania tulirogwa na nani..!