Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,608
Hizi huwa ni chuki za kimasikini.Keshaona anawaimbia mapoyoyo kwann asitoe radha za kipoyoyo???
Mwana FA aliwahi kuimba "Wengine hawana hata kalaki wanaita watu masikini haki nawaombea mabaya kama wanavyoniombea mimi" acha hizo ufanikiwe wewe najua huna hela usishangae nimejuaje ila NAJUA HUNA