Diamond kaleta sifa Tanzania

Kama AY ngoma zake ni international basi siku nyingi angeingiankwenye kinyang'anyiro hicho....tuache kufanya comparisonss..AY huwa anajaribu kutushawishi kwamba yuko international but walio huko bado hawajamuona aendelee kukaza buti tuu

soooo....kasha kuwa nominee kwenye Chanel O awards zaidi ya mara tatu,kasha kuwa nominee kwenye Mtv mama Awards,kashakuwa nominee kwenye Kora awards,kisima awards so compare na mdogo wako huyo,nakucheka unavyo sema eti hajulikani kimataifa hata show anazofanya mbele sio za sebuleni kwenye birthday party...have you seen AY interviewed on BBC Africa?
 
sisi tunataka kibongo bongo tuu AY analeta uzungu sana, tunayaona kwa kina Jay Z yameshatuchosha
Kama yapi hayo huyo diamond kafanya ya kibongo zaidi,kuanzia mdundo style zote ni copy kutoka Nigeria so sio real kaenda kwa upepo wa Davido kuwa kwenye hit but nafasi inampwaya
 

hata shilole anafanya show mbele..commentless of urs
 
Diamondplatnumz ukweli yuko kuna gap kubwa sana na other arts in tz. Big up sanaaa
 

Wekeni link tumpigie
 
Msanii wa kweli kwanza ukubalike kwenu, sasa wewe kwenu hukubaliki ukisikiliza radio zote husikii hata wimbo ukichezwa halafu wewe unasema wa kimataifa, mashabiki ndio watakao kuona wa kimataifa sio wewe ujiite hivyo, hongera sana dogo kilicho kubeba ni kule kuchanganya kwako lugha ya kiswahili na kiingereza, wazungu hua wanapenda sana kiswahili, hongera hello hello Tanzania.


selfish
 

Nakubaliana na wewe kuhusu AY.
 
acha ubishi kawa nominated kote BET na MTV . kwenye BET yupo kategory ya best internationa africa, yupo na mafikizolo, davido, n.k
nimeshakubali mkuu,nilikuwa wrong
 

Acha pumba wewe collabo imempelekaje? Kwani ni watu wangapi wamefanya collabo na davido yet sio nominees? Jifunze kuapreciate juhudi za watu...
 

Akili yako fupi. Wote ni watz jus give support when it comes to international level kibongobongo ndo uwapambanishe. Don't tell uko tayari davido achukue kisa u think AY deserved more
 
Mkuu vioi cha kujichanganya na kuchanganya wadau hizo ni tuzo mbili tofauti.Diamond ameteuliwa MTV Africa pia BET ya Marekani.Sijajua wewe unasomaje kisha unaibuka hapa JF kuleta ulichokileta.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…