Diamond jiongezee ulinzi, una maadui wengi

Njemba Soro.

JF-Expert Member
Oct 5, 2013
3,246
5,756
Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....
 
Jamaa Ni sahihi kabisa kutembea na mabodiguards ila najiuliza mbona boss ruge hakuwa na ulinzi wa aina hiyo na alikua na maadui shazi? Wengine ni Majizo,Kusaga Jembe ni jembe, Mo Dewji, Bakhresa wako na maadui shazi ila ulinzi wa kawaida tu na hawadhuliwi
 
Problem ni moja wanaopenda ni wengi Sana kuliko wanaomchukia ni wachache so Haina haja yakuongeza ulinzi na yeye amekuwa na ulinzi kwasababu yeye ni maarufu na Kila sehemu anapotokea kunakuwa na umati wa watu wanataka kumshika na wengine wanatakupiga picha.
 
Wote hao hawana impact na u super staa alionayo daimond
 
Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....
Yeah diamond wengi wanamchukia sijui kwanini,maana ameajiri na bado anaendelea kuajiri ko youth unemployment rate inapungua na kusolve tatizo la employment he is the king.
 
Mwisho wa siku mtamuambia awe anatembea na helmet kichwani mana anaweza kupigwa mawe au kupuliziwa moshi wa sumu😂😂😂😂
 
Yeah diamond wengi wanamchukia sijui kwanini,maana ameajiri na bado anaendelea kuajiri ko youth unemployment rate inapungua na kusolve tatizo la employment he is the king.
wivu wa mafanikio,halaf mwana anajua kujimwambafai,na kuwakata ngebe madomo kaya yani kwa lugha nyingine anajua kuwakera....
 
Problem ni moja wanaopenda ni wengi Sana kuliko wanaomchukia ni wachache so Haina haja yakuongeza ulinzi na yeye amekuwa na ulinzi kwasababu yeye ni maarufu na Kila sehemu anapotokea kunakuwa na umati wa watu wanataka kumshika na wengine wanatakupiga picha.
Jibu sahihi kabisa
 
Alli Kiba v/s Diamond. Jamani kweli? Eti Kuna mtu anasema Ali ni msiri, wa Nini? Vitu vinaonekana. Tanasha tunaziona. Mali tunaziona. WafanyaKazi tunawaonea. Tena wengine wakali kuliko wa clouds.
 
Jamaa Ni sahihi kabisa kutembea na mabodiguards ila najiuliza mbona boss ruge hakuwa na ulinzi wa aina hiyo na alikua na maadui shazi? Wengine ni Majizo,Kusaga Jembe ni jembe, Mo Dewji, Bakhresa wako na maadui shazi ila ulinzi wa kawaida tu na hawadhuliwi
Unajisahaulisha makusudi au.
ni kweli hufahamu kuwa Mo Dewji wahuni walimuweka kapuni ?
 
Ndio nimekutana na title moja mtandaoni ikisema "hata Bakhresa hana Baunsa", possibly hapa wanapondwa kina Diamond wenye mabouncer.

Mimi nionavyo hii ishu ya mabaunsa ni sehemu ya Sanaa ya Msanii husika zaidi kuliko ulinzi, at least Watu mnapata cha kuwaongelea kutwa kucha.

Sasa cha ajabu Msanii anaye struggle na sanaa yake, na huenda benki ana sh 5,000,000, tena ni kwa kipindi hiki wanachokiita cha 'msimu' ili hali huyo anayepondwa kwa sanaa yake ya Mabaunsa ana zaidi ya bilioni moja...

Hivi Bakhresa na Diamond wana mfanano gani? shughuli wanazofanya haziwiani hata kwa nukta...hivi ni Watu wangapi wanamjua Bakhresa? Bakhresa jina lake ndio maarufu kuliko yeye mwenyewe, leo hii Bakhresa akikatiza viunga vya jiji la Arusha bila kutambulishwa na Mtu hakuna Mtu yeyote atakayeshtuka...vivyo hivyo akienda Iringa, Songea, Rukwa n.k.

Kila Msanii afanye sanaa yake, pale atakapofanikiwa na kuwa gumzo mjini basi ndio atoke mbele atuambie "hivi nifanyavyo mimi ndio sawa, nyie wengine acheni hayo nifuateni mimi mtafanikiwa".
 
Kwa mujibu wa diamond akihojiwa na bongo5 alisema moja Kati ya sababu iliyomfanya awe na baunser ni wakati ana shooting video ya je utanipenda alizungukwa na umati wa watu wengi wakimgombania wamshike kutokana na Hilo wakaghairisha kufanya video kwa wakati huo ikibidi siku ya pili yake waombe ulinzi wa polisi ili kuwatenganisha watu ili video ifanyike vizuri tokea happy akaona kutokana umaarufu wake kuwa mkubwa ni vizuri niwe na walinzi wataonisaidia kipindi nimesongwa na watu wengi kutaka kunishika na wengine kupiga picha na Mimi.
 
Usiseme aongeze ulinzi sema aongeze watu wa kutembea nae. Watu wenye ulinzi Ni watu watatu. Rais, Makaku wa Rais, Waziri Mkuu
Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....
 
Huyu jamaa Nasibu anajitahidi sana kufanya kazi na kuajiri watu wengine ila sasa inapoelekea inabidi ajilinde zaidi maana anaitwa mnyonyajji na tapeli na mwonevu. Namshauri ajiangalie sana maana kwa level hii ya kumiliki hata media anajiweka kwenye ushindani fulani hivi washakaji wanaweza kumfanya mbaya hata kwa kumloga..... NI USHAURI TU....
Hivi mchawi analogeka?
 
Back
Top Bottom