Diamond ft Neyo "marry You" yashika namba 2 UK, aweka Record

Diamond ft Neyo "marry You" yashika namba 2 UK, aweka Record

Mkuu umeua, wachangiaji wamepotea ghafla.
[emoji23][emoji23]itakuwa amewauwa teamkiba wenzie lakini sio sisi tunaomfatilia msanii wetu kwa ukaribu kila siku..

Huyo kilaza wako mwambie aache kunywa gongo ya kwenye mapipa[emoji38]..mwambie anywe K-Vant[emoji38]
af59d2caccf5f5fd135f6cb71fb057aa.jpg
 
eheeee heeeeeee.......na vodacom ohoooo hoooo...
 
Yaani kila nikiingia Jf nakutana na habari mara Simba kachukua tuzo, mara goma lake linakamata chati Uk, mara ndiyo Mtanzania wa kwanza kupiga show Mayotte n.k! Itakuwa kijana ameinunua Jamii forums nini? Maana huyu mziki haumlipi ila yeye nasikia ndiyo anaulipa.
 
Yani toka ommy amwage ugali thread za domo zimeongezeka sana hahahaaaha dah. Yani neno "kununua" linatumika sana kwa kila mashabik wa mond wanapocomment kitu. Haahahahahaahhahahahaahahhahahahahahahahaahha
 
Yaani kila nikiingia Jf nakutana na habari mara Simba kachukua tuzo, mara goma lake linakamata chati Uk, mara ndiyo Mtanzania wa kwanza kupiga show Mayotte n.k! Itakuwa kijana ameinunua Jamii forums nini? Maana huyu mziki haumlipi ila yeye nasikia ndiyo anaulipa.
Dimpo kawakamata pabaya. Kila kitu hashtag ni "kununua"hahahhahahhahahahaha dimpoo asante kwa kutufungua macho mwanawane
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom