Punguza ushamba.US Ya tandale
Daah... kuna watu mnajua ku kill mijadala... no more comments.hii ngoma hata diamond alishawahi kusema ana focus soko la ulaya na Marekani, sasa wewe wa kariakoo kama unaona mbaya kasikilize nenda kamwambie au mbagala, haujakatazwa
Demo hainaga utofauti na nyimbo iliyokamilika nyimbo ni nzuri ila diamond part yake kaimba nje ya keyIle ilikuwa demo mkuu
Usipende kutumia vitu vilivyofeli kwenye reference ya kutaka kujaribu jambo jipyaMarekani "my foot" kamuulize Mayunga ile single yake na Akon ipo wapi?
Akawaulize P square, Wimbo wao na Rick Ros ilifika nafasi ya ngapi Billboard[emoji3][emoji3]
Labda kama Marekani kuna Clouds Fm
Mwambieni ukweli bosi wenu amepuyanga neyo kamfunika sana... ila mwambieni asifute sauti za neyo kama alivyofuta za AlikibaIkiwa chini ya usambazaji wa Universal music Group wimbo wa marry you wa diamond ft neyo umeendelea kutesa kataka maeneo ya UK na US
View attachment 441143
View attachment 441144
View attachment 441147
bila shaka unauzungumzia ule uliovuja huko youtubeHuo wimbo ulisha letwa hapa ni wakawaida sana labda kama kuna mwingine wa tofauti!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hii ngoma hata diamond alishawahi kusema ana focus soko la ulaya na Marekani, sasa wewe wa kariakoo kama unaona mbaya kasikilize nenda kamwambie au mbagala, haujakatazwa