Diamond ft Neyo "marry You" yashika namba 2 UK, aweka Record

Diamond ft Neyo "marry You" yashika namba 2 UK, aweka Record

kuna kitu nyuma ya pazia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mi nimeona..haiwezekani kabisa katika akili ya kawaida..
Domo huyuhuyu tunayemjua sisi,mwenye sauti mbayaaa,midomo mikubwaaa,mshamba wa Tandale huko leo hii asikike huko Ulaya?!tena huko ulaya kila nyimbo ya msanii ikipigwa basi msanii hulipwa kitita cha USdollar!leo hii Diamond afikie huko?!

Hapana iko namna tu hapa[emoji38][emoji38]
 
HAIWEZEKANI KABISAAA!!DIAMOND ANAWAHONGA WAZUNGU SASA!!
Itakuwa amenunua vituo vyote vya Radio na Tv vya huko Ulaya ili wapige nyimbo yake ndani ya top3[emoji38][emoji38][emoji38]..

Huyu kijana kazi yake ni kununua tu..muziki haumlipi kabisaa[emoji38]bali yeye ndiye anaulipa muziki..maana ananunua kila kitu[emoji38]..

Diamond inawezekana alitafuta hela kwanza kabla ya kuingia kwenye Music Industry..maana sio kwa kununua huko...mpaka wazungu anawanunua[emoji38][emoji38]..

Nenda Nassib Nendaaaa!!juhudi zako zinaonekana

Ebwanaa una ugomvi na Nifah
 
1480354389429.png
 
Kila kitu ni ujanja ujanja hahahha Diamond mi nazidi kukazia pale pa tekno leaders alimaliza kila kitu nyingine mbwembwe tu.
 
Form aliyonayo Mond ni kama ile form waliyokuwanayo senegal world cup 2002...

Hakuna tena kizazi cha kuvunja hii rekodi lbd 50- 60 years
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Labda UK ya Maganzo ndio huo mwimbo Diamond umeshika nafasi !! But sio United Kingdom waongopee huko huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom