brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Mwaka 2017 umeendelea kuwa mzuri kwa nyota wa Tanzania Diamond platnumz. Kupita account take mpya ya VEVO yenye subscribe 14,370 Diamond amekuwa msanii wa kwanza kutoka Africa wimbo wake kufikisha viewers milioni 1 ndani ya siku 5
Wimbo mpya wa marry you aliomshirikisha Neyo ukikamata namba moja kwenye trend YouTube hadi sasa unaviewers zaidi ya milioni moja.
Wimbo wa Davido aliomshirikisha tinashe How long ulichikus zaidi ya siku ya 9 kufikisha milioni 1 , huku wimbo wa Wizkid Daddy Yo ukichukua siku 10
Ikumbukwe diamond aliweka recond kupitia account yake ya kawaida ya YouTube yenye subscribe zaidi ya Laki 4 kwa wimbo wa kidogo na Salome zilizochukua Siku 4 kufikisha viewers milioni 1.
Wimbo wa Marry You umeendelea kupata attention duniani kote huku mitandao mikubwa ikiupa support .
Website inayomilikiwa na 50 Cent ilipost nyimbo hiyo
Diamond pia amepata interview na radio ilioko UK London kutipia mziki wake unaoendelea kukua kila siku