wined
JF-Expert Member
- Nov 1, 2015
- 2,292
- 2,765
wewe kama nan unatoa agizoMods unga uzi huu
wewe kama nan unatoa agizoMods unga uzi huu
Kama memba wa jf!wewe kama nan unatoa agizo
Ushirikiano mkuu
Unamkomoa Nani? Maana watoto Ni wako
Diamond hajatuma kaona Zari kauchuna maisha yanaendelea imemuuma
Unapofanya kitu alafu impact zero lazima ukuume
sina na nimeridhika na jibu!Kama memba wa jf!
Una lingine?
Yani unizuie kuongea na wanangu halafu bado nikutumie pesa labda niwe na kichaa. Situmi
Byeeeeeeesina na nimeridhika na jibu!
Wacha huzo Za babako.Tuma matumizi Kwa watoto.Msanii diamond platnumz amekiri anamiezi zaidi ya 3 hajatuma matumizi ya watoto wake South kwakuwa mzazi mwenzake Zari haonyeshi ushirikina wa kumpa kuongea na watoto wake Tiffah na Nillan.
Anasema mwazo alikuwa anatuma dola 2000 kwa mwezi lakini ameacha hata tuma tenaView attachment 1079775
Sio vizuri. Atume pesa Kwa watoto. Ni wakeHata Mimi kwa utaratibu huo situmi hata mia. Hongera abdul
Safi Sana.Unamkomoa Nani? Maana watoto Ni wako
Diamond hajatuma kaona Zari kauchuna maisha yanaendelea imemuuma
Unapofanya kitu alafu impact zero lazima ukuume
Alitegemea atapelekwa mahakamani kama mobeto CV itaongezeka haa haaa kazi sanaUnamkomoa Nani? Maana watoto Ni wako
Diamond hajatuma kaona Zari kauchuna maisha yanaendelea imemuuma
Unapofanya kitu alafu impact zero lazima ukuume
kazi sana hizi mada jamaniHaonyeshi "ushirikina"kumbe wanashirikiana kuloga
Wangekuwa wanagharagazana huko huko sasa mpaka nyumbani uchafu mkubwa sanaAkipewa nafasi mara kaenda na mitakataka mle ndani sijui jumachokole,sijui madubwasha gani mpk vimada wa mamayake aisee ushamba mzigo sana.