Diamond asema nimesitisha kupeleka matumizi ya watoto South

Hii movie tamu. Inaelekea climax.
Bi. Dada ajibu
Peter ajitete
Trainer ajipongezee
Chibu afunge mada. .........
Note : asijifananishe na mzee wake aliyedai alimtelekeza. No matter what! Watoto lazima wapate huduma stahiki .

Asikwepe majukumu huyo
 
Msanii diamond platnumz amekiri anamiezi zaidi ya 3 hajatuma matumizi ya watoto wake South kwakuwa mzazi mwenzake Zari haonyeshi ushirikina wa kumpa kuongea na watoto wake Tiffah na Nillan.
Anasema mwazo alikuwa anatuma dola 2000 kwa mwezi lakini ameacha hata tuma tenaView attachment 1079775
Penzi la mwanamke maarufu ni msalaba mzito.
Bora aangalie mswahili mwenziye walianzishe.
 
Weee ishia hapohapo, yani ampe mama dangote $2000 za kina Tiffa ili hali anajua kabisa mume wa mama yake ni tapeli?


Atakimbilia wapi huyo mama ake , hawezi kufanya chochote na hela za wajukuu zake, Diamond mwenyewe amesema za mtoto wa Hamisa uwa anatuma babu tale


Angekua ni nmtumaji kweli angempa huyo Tale kama ni sandra haaminiki
 
Namkumbuka sana marehemu baba alikuwa akiniambia nisihesabu kama nina mtoto ikiwa siwalei mwenyewe nijitahidi kuishi na watoto wangu kwa mazingira yoyote na wasilelewe na watu wengine
Rip father
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom