Diamond asema nimesitisha kupeleka matumizi ya watoto South

Shida ya kina mama wengi unapogombana naye atajitahidi kukuweka mbali na wanao kama adhabu.Sasa sisi wanaume katika kikao chetu cha jana tumekubaliana ukiona mtalaka wako anakutenga na wanao kama adhabu basi unafunga mirija ya posho unatafuta watoto wengine.
Naunga mkono hoja. Kama baba ananunuliwa dukani waende wakanunue shwaiin kabisa
 
Halafu Baada ya 20 yrs wanakuwa matonya watoto hawapumui mizinga
Yani kama mpaka leo unaishi kwa kutegemea msaada wa mwanao wewe zaidi ya mjinga.Kwanza watoto wa sasa hivi ndio wanatupiga mizinga hata wakiwa wameshaoa
 
Ile nyumba si ya kwake? Wale watoto si wa kwake? Kwa nini hasiende huko South kuwasalimia badala ya kukomaa aongee nao kwenye simu ?
 
Ile nyumba si ya kwake? Wale watoto si wa kwake? Kwa nini hasiende huko South kuwasalimia badala ya kukomaa aongee nao kwenye simu ?
Mwingine akikusoma fasta hapa anaweza jua unaongelea South ya Kigamboni.
 
Back
Top Bottom