Mwanampweke
Member
- Mar 25, 2012
- 43
- 7
Kodi kwa msanii mmoja tu!
Lakini hapo kuna issue ya msingi...kwanini halipi kodi? Na wasanii wengine kama masanja mkandamizaji na Bongo movie team kwanini hawalipi kodi? TRA hawatafuti kodi wamekalia kufukuzana na watumishi wenye mishahara ya laki 2 kwa mwezi wanawaacha wafanyabiashara na wasanii wakijinasibu kuwa na pesa na maisha ya juu. Wasanii nje ya nchi wanaendesha serikali kwa mapato....TRA mjirekebishe. Tanzania bila kuipa UKAWA haiwezi kupiga hatua
Nimesoma gazeti moja la udaku Leo linadai kuwa Diamond platinumz anadaiwa Tsh. million 800 na TRA(Tanzania Revenue Authority)
wanajamvi Je hizi habari mnahisi zina ukweli wowote?
Diamond usilipe tuone kama watakuja kutia kufuli wapi..labda kwa wema
mbona una mahaba kwa wanaume wenzio hivi ?
unataka asilipe kodi kama nani mbona wewe unalipa
hadi Leo Messi analipa sembuse domo
..kuacha kodi kwenye ishu za msingi na zenye hela..
Kodi kwa msanii mmoja tu!
Kanusha wewe! Mabilionia wako Arusha wewe!!kwa bilioniare kama yeye hiyo sio pesa mingi