Kwahiyo?
..Hakuna safi sana hapo. Huyo mzee amefanya kazi ya muziki kwa miaka 53 kama ajira yake aliwajibika kutafuta hiyo gari kwa jasho lake. Sio kuja kulialia eti anastaafu muziki hana hata baiskeli. We mwajiri wako unamfanyia kazi anakulipa mshahara usipopanga mipango yako usitarajie ukistaafu kazi umlaumu au ulaumu umma kuwa kwa miaka uliyofanya kazi hujafanya jambo la maana. Kwanza atakuwa na uwezo wa kulihudumia hilo gari au Diamond atamuwekea na mafuta,bima, service etc etc? Haijatulia kabisa.Safi sana, dogo Diamond.
Narudia tena. Safi sana, dogo Diamond.