Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Diamond platnumz yuko very smart kila sekta. Mwangalie anavyoachia nyimbo kimkakati, anavyoweza kuwameneji wasanii walio chini yake vizuri, kujua soko la mziki linataka nini kwa wakati upi, na biashara zake ikiwemo wcb media.

Kiufupi huyu jamaa ni genius katika mikakati ya kuwini soko analolitaka. Ngoma yake aloachia juzi quarantine ni ngoma mbovu kuwahi kutokea, lakini ni Bonge moja la ngoma linalomtambulisha duniani.

Yaani hapo unaweza kuelewa kuwa jamaa target yake siyo bongo tena, ndiyo maana ngoma zake nyingi za hivi karibuni hatuzielewi lakini huko duniani zinaeleweka vyema,,,, tuko bize kuelewa dodo na uno ndo hit songs zetu ambazo actually hazifiki hata Zimbabwe. Tutaendelea kumtabiria kifo chake kimziki, huku mwamba akipasua anga kuupeleka mziki wake to world!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tusubiri Mkuu “The Mnyama Mkali” gwiji la uchambuzi wa masuala ya muziki na burudani kwa ujumla, yeye ana mtazamo gani kwenye hili.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize

Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..

Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
Dhibitisha
 
Hapo kwenye performance anamzidi burna boy kunahitilafu kidogo ,usichukulie performance ya burna bongo kama ndio level zake ,yule mtu yuko na performance za moto since album yake ya outside na kwingine

Diamond ni mzuri tuu kwenye kukata mauno na kucheza cheza


It is never too late to begin. Start now
 
Hapo kwenye performance anamzidi burna boy kunahitilafu kidogo ,usichukulie performance ya burna bongo kama ndio level zake ,yule mtu yuko na performance za moto since album yake ya outside na kwingine

Diamond ni mzuri tuu kwenye kukata mauno na kucheza cheza


It is never too late to begin. Start now
Kama ulikuwa hujui huko kukata mauno na kucheza cheza ndio kunamfanya awe tofauti na wasanii wengine kwenye Stage na kuonekana yeye ni the Best .....Nakuhakikishia Huyo Burmaboy hana uwezo wa kumshinda Diamond platnumz on stage hana.
 
Robidinyo the mnyama. Shida sio hujui ngeli. Shida humpendi diamond vibaya mno. Mwache chibu akachangishe michango huku akitoa burudani yake.
 
Back
Top Bottom