Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

Wimbo kautendea haki asiyecheza lazima awe mchawi, sauti tamu kama kasuku, mashairi yamepangika, hakuna kelele kama upande ule, wachezeka kwa rika lote,
King Kiba Oyeee,
CCM Oyeee.
Hakuna kitu wewe mrembo ndoto,ambae huwezi kuwa mrembo kwa kuishia ndotoni DIAMOND BABA YAOO.
 
Sasa hizo snom zako unazosema una uhakika nazo? Tuheshimiane sihitaji kabisaa mgogoro na mtu, ukiona nakuboa au kukukera wee ni ignore tyuuh kwan tsh ngap? Khaaaaaaaah
Maskini unatia huruma mwenyewe, umeandika hiyo comment yako kwa huzuni sana.
 
"Kucheza kwa hisia kali". Nimecheka kwenye hayo maneno sijui kwa nini. Kucheza kwa hisia kali ndo kukoje mkuu?

Team kiba hamuishiwi visa 😂
 
Back
Top Bottom