Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,366
2,000
Diamond anatikisa kichwa na kucheza kwa hisia kali sana na kuenjoy sauti ya king kama king, diamond inaonekana alimiss mziki mzuri, boss wenu amenyoooka
Alikiba anatikisa kichwa na kucheza kwa hisia Kali sana na kuenjoy sauti ya queen ZUCHU na GOAT Simba kama chibu, alikiba inaonekana alimiss hitsong na mziki mzuri, boss wenu amenyooka round hii.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom