Diamond alivyocheza wimbo wa King kiba kwa hisia kali

Wimbo kautendea haki asiyecheza lazima awe mchawi, sauti tamu kama kasuku, mashairi yamepangika, hakuna kelele kama upande ule, wachezeka kwa rika lote,
King Kiba Oyeee,
CCM Oyeee.
 
Wimbo kautendea haki asiyecheza lazima awe mchawi, sauti tamu kama kasuku, mashairi yamepangika, hakuna kelele kama upande ule, wachezeka kwa rika lote,
King Kiba Oyeee,
CCM Oyeee.
Piga kelele kwa ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Nyimbo za Kiba tamu sana, utacheza na kuimba tu hata kama hautaki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom