Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

East African Eagle

Yaani EAE umeniwahi kweli. Nimeingia katika jukwaa hili leo nikiwa na wazo ninalokaribiana na hili lako. Lakini langu linaenda mbele zaidi kidogo kwamba kwa vile Dayamondi ameonesha ufanisi kama rais wa Wasafi,

tena katika kipindi kifupi sana, kwa nini tusimpigie debe ili ateuliwe na CCM kuwa mgombea wa urahisi wa JMT? Go dayamondi!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli mkuu, jimbo lenye chuo kikuu mama cha Taifa, tuchague Diamond? Hata kuisikia ccm hatutaki, hata hivyo nakumbusha kuwa MNYIKA anahati miliki na hili jimbo kwa miaka 99. Kama hamuamini mleteni yeyote Ubungo halafu November tukutane hapa kwa mrejesho!
Wamuulize Nape aliyeamua kukimbilia Mtama!
 
Sio kila mtu lazima awe mbuge banaa nyie vipii
 
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.
Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.

very poor premises! non sense!
 
Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.

Wewe mpuuzi wapi kasema anataka kugombea ubunge?
 
Napendekeza Mwanamuziki Diamond agombee ubunge jimbo la ubungo uchaguzi ujao.

Ubungo kuna vijana wengi wa mitaani ambao Diamond ana uwezo mkubwa si tu wa kuwashawishi wampe kura lakini ana uwezo pia wa kuwasaidia vijana wengi kwa kuwa yeye mwenyewe katokea maisha ya mtaani hadi kufikia hapo alipo kung`ara kimataifa.

Na pia ni kijana aliyekomaa kimikakati ya kimaisha ni rahisi kufunza vijana wenzie.

Ni ukweli usiopingika kwamba Mchango wa Diamond kwenye uenezi chama ni sawa kabisa na ule wa Kapteni Komba..

Uwepo wake kwenye mikutano ya chama una impact kubwa sana kwa hiyo Chama inabidi kimtunuku walau jimbo..
 
Akagombee nyumbani kwa akina Wema na zile suruali sake utafikiri anakunya m8fuko ya saruji
 
Duh.kweli watanzania tumekata tamaa.yaan Diamond?
 
Back
Top Bottom