Diamond aendelea kuwafunga midomo wanaomsema kuhusu nyumba

Post uliyo-quote nimesema nini?!
Unajua ulichokisema, achana na maneno ya mitaani, zakaria haishi nhc (hili ni kwa uhakika kwa miaka 20 hivi, hajahama anapoishi), ama unamzungumzia zakaria mwengine
 
Kujenga sio haki ya kimsingi.

Makazi ndio haki ya kimsingi.

Nilikuwa nakuelewesha ilo, mnaweza endelea na mjadala wenu.
Kwa nini makazi ni haki ya msingi na kujenga si haki ya msingi?

Nikisema nataka kujenga nyumba yangu ninayotaka, ukanikataza, hapo umevunja haki yangu ya msingi au hujavunja?

Unaweza kusema kuwa na mbunge ni haki ya msingi lakini kumchagua mbunge unayemtaka na kumpigia kura mwenyewe si haki ya msingi?
 
Kuwa na makazi sio lazima yawe ya kujenga mwenyewe.

Unaweza kukatazwa kujenga nyumba yako lakini ukawa haujanyimwa haki ya makazi.
Haki ya makazi inaendana na haki ya adequate housing.

Ukikatazwa kujenga nyumba yako yenye internal plumbing ukalazimishwa kuishi kwenye squatters slum umenyimwa haki ya makazi.

Haki ya makazi inaendana pia na haki ya tenure.

Ukilazimishwa kukodi kiota kiko juu kwa ju huna haki za umiliki wa ardhi ukajenga mwenyewe unavyotaka umenyimwa haki ya makazi.

Ukiwekewa discrimination wengine wanaruhusiwa kujenga wewe unakatazwa hapo umezuiwa haki ya makazi.

Haki ya makazi inaendana na haki ya kuchagua sehemu ya makazi.

Nikitaka kuwa na nyumba sehemu ambayo haijajengwa nyumba utanihakikishiaje haki yangu ya makazi bila kunipa haki ya kujenga?

Far from just makazi ambayo unaweza kuwa hujayajenga mwenyewe unavyotaka, hayapo unapotaka na unaweza kufukuzwa wakati wowote, watu wana haki ya kuwa na makazi waliyoyajenga wenyewe wanavyotaka na ambayo wana umiliki wake kamili, katika sehemu wanazotaka.

Your interpretation is rather shallow and narrow.
 
Wakati kujenga ni haki ya msingi ya kila mtu.

Mimi nilifikiri mwanamuziki anasifiwa kwa muziki.
Faida anayoipata kwenye muziki akiwekeza kwenye vitu vya maana kama nyumba/vijinyumba au kufanikisha kuitumia brand-name yake aliyoijenga kutokana na muziki akapata vijishea sehemu na sehemu anasifika zaidi na kuonekana mwenye akili kuliko kuishia kuwa na umaarufu ambao kama ghafla kwa bahati mbaya akipata matatizo nje ya uwezo wake,mfano cancer ya koo mpaka akose hata miambili miambili ambazo kodi ya vinyumba au vijishea vinaweza kuwa vinamuingizia ni kukosa akili.

Huyo anayesimangwa hapa amewazidi akili wanamuziki wengine wengi Bongo, kuanzia kujua kutumia fursa, kujua kuitumia brand-name yake na kuwekeza kwa kadri ya uwezo wake.

Ametoka mbali, ukiangalia alipoanzia mpaka kufika kuwa topic (heated debate/arguments) kwa watu wanaojinadi ya kuwa ni great thinkers, yaani wanapoteza muda wao kumjadili mpaka mjadala kuanza kutumia mifano ya global billionaires ili kueleweshana mambo ya shares kijana amepiga hatua kubwa sana.

Ukichunguza hizi arguments wengi wa washiriki ni hardcore fanatics vs hardcore haters japo hawawezi kujikubali kuwa wako katika classifications hizo ila mijadala yao inawabainisha hivyo.
 
The whole thing is absurd.

Inawezekana pia watu wanahitaji kujadili watu (hata great thinker hawawezi kuwa policy wonks muda wote) na hao kina Diamond ndio wauza sura wetu wamejiweka kujadiliwa.

Diamond ana own masters zake? Ana own publishing rights za nyimbo zake? Ana own catalogue yake?
Ana own masters/ publishing/ catalogue ya msanii gani mwingine?

Hivyo ndivyo vitu vya kumsifia msanii, siyo nyumba.
 
Back
Top Bottom