Sanjuu
Senior Member
- May 26, 2015
- 125
- 81
Load to MAMA
Load to mama au cyo???
Load to MAMA
Mtv Base wamewataja na kuthibitisha wasanii watakao tumbuiza nchini nigeria kwenye mtv base africa load to MAMA july 3.
Iyanya
Olamide
Yemi Alade
Phynofino
Diamond platnumz
Lilkesho
Dai kama ana akili basi aitumie fursa hii vizuri maana mwenye hiyo nafasi kasharudi na kuanzia mwakani hizo show atakuwa anazisoma tu kwenye page za KingKiba hahahhaha
#Rockstar4000presents
Muongozaji wa video za muziki Tanzania, Adam
Juma wa Next Level anatamani kumtengeneza
msanii mwingine mpya atakayefata nyayo kama
za Diamond kimafanikio.
Akizungumza na 255 ya XXL ya Clouds Fm, AJ
amesema ndoto yake kwasasa ni kuona
anamsimamisha msanii mpya mwenye nyimbo
nzuri.
Natamani kupata ngoma kali, natamani mtu aimbe
nyimbo nzuri haijalishi ni msanii gani, sina wigo wa
kusema nifanye kazi na msanii flani mkubwa sina
msanii mkubwa sina msanii mdogo, naamini saizi
nachotaka kufanya kuna mtu ameshatuonesha
moyo Diamond alipofikia, the whole entire of Afrika
wanamtaka, nataka kumtengeneza mwingine,
nataka kumtengeneza mwingine kutoka chini
kabisa asimame, kwasababu bado nina ndoto, bado
nina vitu kichwani kwahiyo msanii yeyote anayetaka
kufanya kazi na mimi anaweza kufanya kazi na
mimi. Adam Juma
usiwe unakimbilia vitu wakati bado upo ndotoni, hiyo ni writing error, categories za best live na best male umeona wameandika mkenya??? acha ukiazi 😣
Mtv Base wamewataja na kuthibitisha wasanii watakao tumbuiza nchini nigeria kwenye mtv base africa road to MAMA july 3.
Iyanya
Olamide
Yemi Alade
Phynofino
Diamond platnumz
Lilkesho
Asante kwa ushauri, writing error katika mambo ya msingi, na unamtetea, basi unamatatizo ya kimapenzi.....
Mbona Ali Kiba hayupo?! Si katoa video mpya juzi tu?!!
Stress za video mbovu hizo hahaha ☝☝
Pole, diamond platnumz hafanyi kazi kwenye blog ya mtv kama wamekosea ni kimpango wao, hata hivyo ni vizuri kuliko kulimention sana linchi lenye manyang'au kama wewe..
Stress za cheketua unazimalizia kwenye writting error ya mtv blog? hahahaha kama hutaki gademu kufwaaaaaaaa for our President Mr. Icon
Stress za video mbovu hizo hahaha ☝☝
Pole, diamond platnumz hafanyi kazi kwenye blog ya mtv kama wamekosea ni kimpango wao, hata hivyo ni vizuri kuliko kulimention sana linchi lenye manyang'au kama wewe..
Stress za cheketua unazimalizia kwenye writting error ya mtv blog? hahahaha kama hutaki gademu kufwaaaaaaaa for our President Mr. Icon