si inasemekana eti wana bifu? Mashabiki wanatupia maneno machafu uko mitandaoni

aende akawapigie taarab na miduara
si inasemekana eti wana bifu? Mashabiki wanatupia maneno machafu uko mitandaoni
hiyo show mbona ilishatangazwa mda
Hapana mkuu ile ilotangazwa b4 ni show ya load to mama itafanyka nigeria. Kama ktk mpra tunasema n mechi ya ngao ya hisani then wiki moja baadae ligi inaanza.

Ungekuwa umesoma fasihi vizuri ungenielewa..
Hyo ni sawa na ulinganishi.
Kwa level za Diamond kwa sasa naimagine kama angekuwa amezaliwa states. Hata Mike angekaa.
Hutaki unaacha.