Diamond aendelea kutesa Afrika

Diamond aendelea kutesa Afrika

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
Mtv Base wamewataja na kuthibitisha wasanii watakao tumbuiza nchini nigeria kwenye mtv base africa road to MAMA july 3.
Iyanya
Olamide
Yemi Alade
Phynofino
Diamond platnumz
Lilkesho
 
Nyotaaaa na ing'ae kwake yeee

Inaendelea kung'aa na leo nimethibitisha diamond hana mpinzani bongo hii kwa bongo flavour!kijana wetu anaendelea kutuwakilisha vema sana kama taifa!
 
Attachments

  • 1435606438725.jpg
    1435606438725.jpg
    83.4 KB · Views: 1,536
Inaendelea kung'aa na leo nimethibitisha diamond hana mpinzani bongo hii kwa bongo flavour!kijana wetu anaendelea kutuwakilisha vema sana kama taifa!

Ifike mahala serikali imtambue kijana huyu kama BALOZI MAALUMU WA NCHI KIMATAIFA.

ANAIPEPERUSHA BENDERA VYEMA SANA. NI LEVEL ZA MICHAEL JACKSON.
 
Kiukweli hakuna sababu ya kutengeneza hila na chuki za kumshusha Chibu kwa kweli!maana hata akishuka hakuna mbadala wake kwa sasa labda baadae sana
 
Mshindi wa best live kashapatikana kabla ya kura kufungwa. MTV buana wanazunguuuka.. 😡
 
Ifike mahala serikali imtambue kijana huyu kama BALOZI MAALUMU WA NCHI KIMATAIFA.

ANAIPEPERUSHA BENDERA VYEMA SANA. NI LEVEL ZA MICHAEL JACKSON.

Mahaba ni hatari sana. Hapo kwenye michael jackson uliwaza nini mkuu. Hivi kweli unaweza kufananisha level za yule hayati na diamond? Sina chuki na diamond but i dont buy this. Tuendelee kumpigia kura kijana wetu arudi na tuzo. Tumuombee amfikie michael jackson pia.
 
Mh! Jamani huu ushabiki mwingine co,ushabiki maandazi... diamond na michael jackson kweli? Not raiti aisee, vuta vumbi kijana
 
Ifike mahala serikali imtambue kijana huyu kama BALOZI MAALUMU WA NCHI KIMATAIFA.

ANAIPEPERUSHA BENDERA VYEMA SANA. NI LEVEL ZA MICHAEL JACKSON.
Nnapenda mambo yake and I always wish him success, ila hapo kwenye uwakilishi wa nchi, itakuwa vema hili ombi likapelekwa Kenya, maana jamaa anatambulika/ anajitambulisha kama raia wa Kenya. ( rejea kwenye vote categories)
 
usiwe unakimbilia vitu wakati bado upo ndotoni, hiyo ni writing error, categories za best live na best male umeona wameandika mkenya??? acha ukiazi 😣
 
Mtv Base wamewataja na kuthibitisha wasanii watakao tumbuiza nchini nigeria kwenye mtv base africa load to MAMA july 3.
Iyanya
Olamide
Yemi Alade
Phynofino
Diamond platnumz
Lilkesho

Nooooooooma sana

3 july roadto mama
7 singida
18 mtvmama with neyo huku tunazibeba tatuzetu kimadoido
24 Mwanza
25 South Africa - African achievers Awards
 
Mahaba ni hatari sana. Hapo kwenye michael jackson uliwaza nini mkuu. Hivi kweli unaweza kufananisha level za yule hayati na diamond? Sina chuki na diamond but i dont buy this. Tuendelee kumpigia kura kijana wetu arudi na tuzo. Tumuombee amfikie michael jackson pia.

Ungekuwa umesoma fasihi vizuri ungenielewa..
Hyo ni sawa na ulinganishi.
Kwa level za Diamond kwa sasa naimagine kama angekuwa amezaliwa states. Hata Mike angekaa.

Hutaki unaacha.
 
Back
Top Bottom