Diamond, acha wizi wa nyimbo

Kwenye muziki kuna kitu kinaitwa SAMPLING (SAMPLE) tena sio dhambi ni sehemu ya misingi ya muziki. Sasa kama huujui muziki na misingi yake piga kimya kaka utaumbuka
 
Ila sijawahi sikia mwamuziki huko dunian kaiga wimbo wa haka kajamaa.
 
Aiseee kwahiyo unasimulia ulivyoingizwa madale ee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilijua tu utakuja na comment kama hii
Halafu ukute dem mwenyewe kibungo hatare halafu unajishebedua tu
 
We nawe kaibe nenda kwa skizzzy ikihit labd watasikia ndugu yako tena mmoja maan ata ndugu hawawez kusikilia upuuz wako[emoji3][emoji3]

Mond baba lao
Wcb chama lao[emoji39]
 
Tumekuelewa TANASHA
 
Domo ndo kawaida yake. Hana wimbo wa ubunifu wake
Mimi sio mpenzi wa bongo flava Wala nyimbo za nje,
Nyimbo zangu ni za Zaire miaka ya 70 mpaka mwishoni mwa 90,Mara chache nilikua nasikiliza nyimbo za diamond.
Huyu diamond kwa ninavomuona nyimbo zake za sasa anapotea,Kuna wakati aliimba vizuri ila sasa hakuna kitu
 
πŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈπŸ€¦πŸ½β€β™‚οΈπŸšΆπŸ½β€β™‚οΈπŸšΆπŸ½β€β™‚οΈ
 
MNYWABUJU, Ushamba mzigo sanaa mkuu, atasoma ujumbe wako na bado ataendelea kukaza ubongo.
Ngoja sisi tuendelee kula burudani mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…