Diallo amlipua Lowassa

Dialo amepiga penyewe, naona team Lowassa povu linawatoka kama vile mmemeza paketi nzima ya Omo!

Kapiga penyewe wapi ? Povu lipi? Hivi kwa Akili yako ndogo Dialo anaweza kumsumbua lowasa ? Acha kuishi kwa mazoea jitambue huu ulimwengu wa Digtal watu Kama Dialo hawana nafasi ya kusikilizwa wanapuuzwa kwa kwenda mbele.
 
Sijui kama ni mzima kweli....alioyaandika kwan hayana ukweli au?.

Mwambie babayako huyo akimbie mita 100 tuuu..uone majibu. acheni kuangaika rais ni DR. W.P.Slaa.
 
Amaaa kweli ivi huyu kasoma kweli ndo nini anamtuhumu mwenzake kwa mambo mazito waka kayasikia kwa watu wa pemben Huyu nae poyoyo kichwan ulojo tu umejaa

Anasaka Kiki kupitia jina la Lowasa lakini kasahau Kuwa hapa JF wengi wamepevuka kuluko yeye.
 
Sijui kama ni mzima kweli....alioyaandika kwan hayana ukweli au?.

Mwambie babayako huyo akimbie mita 100 tuuu..uone majibu. acheni kuangaika rais ni DR. W.P.Slaa
 
Kapiga penyewe wapi ? Povu lipi? Hivi kwa Akili yako ndogo Dialo anaweza kumsumbua lowasa ? Acha kuishi kwa mazoea jitambue huu ulimwengu wa Digtal watu Kama Dialo hawana nafasi ya kusikilizwa wanapuuzwa kwa kwenda mbele.
Mada kama hizi minyoo, funza na wengine wa aina hiyo hawakosekani
 
Lakini kumbuka zipo sifa au matangazo ya aina mbili mazuri na mabaya haya ya lowasa ni matangazo mabaya anachafuka sana mzee lowasa ukweli mwingi unazidi kuwa bayana.

Acha hizo Ukweli mwingi upi ? Mnapika Uongo kisha mnataka uonekane Ukweli kwa wajinga tu, welevu wameshajua kitambo hata mje na nini mataishia kuwakata wajinga wajinga tu.
 
Sijui kama ni mzima kweli....alioyaandika kwan hayana ukweli au?.

Mwambie babayako huyo akimbie mita 100 tuuu..uone majibu. acheni kuangaika rais ni DR. W.P.Slaa
Mkuu, japo sikubaliani na urais wa Dr Slaa, ila nakubaliana na wewe kuwa hata ukimpa mita kumi, nakuhakikishia kuwa Lowasa hawezi kumudu hata kidogo
 
Sasa na wewe umeandika nini hapa mbona uwezo wako pia unatia mashaka?!
 
Mkuu BAK, asante kwa hii, naendelea kukiri, jamaa nanmkubali sana!, ila mimi pia ni muumini wa any publicity is promo, iwe ni good publicity or bad publicity, its publicity, hivyo wanachofanya hii kambi ya naniliu, ni kumpa promo tuu jamaa yangu!.

Nikija kwenye utetezi, sometime kukaa kimya bila kujibu chochote kwenye tuhuma utumbo utumbo, ni utetezi tosha!.

Thanks.

Pasco
 
Daillo jibu issue ya mauaji kaka....na issue ya kumbaka Grace mhudumu wa kuleana mwanza....tena mbaya zaidi mpaka ulimlawiti na kashatua dar ijumaa atakuwa na press confrance pamoja na Jane...pole sana this time your over
 
Mada kama hizi minyoo, funza na wengine wa aina hiyo hawakosekani

Minyoo nipo Tumboni mwako na mie ndiye nilikuletea njaa lakini ulikosea kwenda kuchukua Mlungula kwa wabaya wa Lowasa ili ushiriki kumchafua ingawa moyoni najua unamkubali Lowasa.
 
Lowassa akiwa raisi, nahama tanzania, bora nikawe mkimbizi,
kuliko kutawaliwa na fisadi namna hiyo.

CHEDEMA JUU,
 
Daillo jibu issue ya mauaji kaka....na issue ya kumbaka Grace mhudumu wa kuleana mwanza....tena mbaya zaidi mpaka ulimlawiti na kashatua dar ijumaa atakuwa na press confrance pamoja na Jane...pole sana this time your over

Dialo na Lowasa ni sawa na kichuguu na mlima Kilimanjaro , Dialo hana jipya kaamua kusaka Kiki kupitia jina la lowasa jawabu la Ujinga wake atalipata hapa hapa JF .
 
Mkuu, japo sikubaliani na urais wa Dr Slaa, ila nakubaliana na wewe kuwa hata ukimpa mita kumi, nakuhakikishia kuwa Lowasa hawezi kumudu hata kidogo
Mtahangaika sana mkuu...njooo fasta area D napita hapa naona Lweigwanan yuko fiti ile mbaya katika mazoezi...wananchi kibao wamemsimamisha japo wamsalimie hahahahahahaha Lowassa for 2015
 
Mkuu hili la Afya ya mzee lina ukweli kiasi gani? Maana marathon ya kampeni sio mchezo. Atamaliza kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…