Nadhani huna kumbu kumbu nakupa hii Dialo baada ya kutapeli Dola Laki moja ngoma ilipelekwa ikulu akaitwa Akiwa ni mteuliwa wa Rais lakini ni mtumishi wa umma boss wake ni huyo huyo unayemdharau, aliposomewa mashitaka yake mbele ya katibu Mkuu akaleta dharau ndipo Uteuzi wake ukatenguliwa , kumbuka Pia wakati mawaziri wanaapishwa katibu Mkuu huwasajiri kwenye utumishi wa umma Mara baada ya kuapishwa , katibu Mkuu ni mtu mkubwa kuliko unavyomfikiria. Najua umejitoa Fahamu endelea kumtetea baba yenu membe na wapambe wake akina Dialo.Wewe kweli chizi..kama ata hujui mamlaka ya uteuzi na ubadilishaji wa mawaziri ipo kwa nani sijui utajua kipi??bure kabisa..
Kwa kukusaidia mamlaka ya uteuzi wa waziri na naibu wake ni ya Rais mwenyewe akishauriana na Makamu wa Rais na Waziri Mkuu, katu Katibu Mkuu Kiongozi hawezi kumfuta kazi Waziri wala Naibu Waziri.
Kama una mtoto aliye shule ya msingi basi muulize atakufundisha vizuri, jinga wewe..
Unakumbuka kilichomfukuzusha Dialo Uwaziri? Uliza uambiwe huyo boss wako ni full fisadi vioja alivyofanya wakati Akiwa Waziri havifai hata kuhadithiwa ,? Nenda kawaulize wafanyakazi wake kwenye miladi yake utaambiwa udhaifu wake Nina imani utazimia ukiamka unawalaani wote waliopata kumteua Kuwa Waziri kwani hakuwa na vigezo.!
Ni kweli kuu......ila kwa akili za Diallo mimi sishangai ingawa wasukuma ni watulivu na smart kama unavyonena......amefanya hili kwa msukumo wa makundi kumbe hajui anazidi kujichafulia, na mpaka issue zake za ubakaji, mauhaji, na ulawiti sasa tunazisoma humu jamvini.
Sijui kama ni mzima kweli....alioyaandika kwan hayana ukweli au?.
Mwambie babayako huyo akimbie mita 100 tuuu..uone majibu. acheni kuangaika rais ni DR. W.P.Slaa
Nadhani huna kumbu kumbu nakupa hii Dialo baada ya kutapeli Dola Laki moja ngoma ilipelekwa ikulu akaitwa Akiwa ni mteuliwa wa Rais lakini ni mtumishi wa umma boss wake ni huyo huyo unayemdharau, aliposomewa mashitaka yake mbele ya katibu Mkuu akaleta dharau ndipo Uteuzi wake ukatenguliwa , kumbuka Pia wakati mawaziri wanaapishwa katibu Mkuu huwasajiri kwenye utumishi wa umma Mara baada ya kuapishwa , katibu Mkuu ni mtu mkubwa kuliko unavyomfikiria. Najua umejitoa Fahamu endelea kumtetea baba yenu membe na wapambe wake akina Dialo.
Mzee wako kumbe ni mbakaji na mlawitaji mkubwa sana.....mpe taarifa Jane wa dodoma pamoja na grace wa mwanza kuleana watakuwa na press conference ijumaa hii...
Ushauri wa bure kwa wapambe wa Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia zisizo halali ni haki ya kila mtu kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu Ccm.
hakuna cha lengo wala nini, mbona ulipohama ulituambia........kamanda kushindwa katika maisha sio wajibu wa serikali 100% bali kazi kubwa ya serikali ni kuweka miundombinu tu, zaidi ya asilimia 96% is your job kuhakikisha u tackle poverty
Dialo Tv na Radio zako wafanyakazi wanalalamika sana juu ya Rushwa ya ngono kwa wafanyakazi wa kike , mishahara mibovu, full unyanyasaji nenda kasafishe nyumba yako kwanza kabla ya kuleta uongo wako hapa JF.
Hebu jiulize:Hii trailer tu...Lowassa ni mzizi wa uchafu wa kifisadi hapa nchini kwa sasa.
"Ushauri wa bure kwa wapambe wa
Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni
halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia
zisizo halali ni haki ya kila mtu
kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu
Ccm." Dr Diallo
*Huo ushauri hapo nami naanza.kuufanyia kazi kuna mshikaji frienda of Low-hasa ananiunga nami nijilie pesa kiulaini.
Mbona hajakanusha??? Dialo ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa na ukisoma Mtiririko Mzima ni UCHAFU MTUPU WA LOWASSA wa kuuwania URAIS ni bora ajipumzikie kwani kwenye CC hatapita na kwenye NFC atamkuta Diallo na kunditutajuaje kama hii post in ya dialo?
Kama wanasema Lowassa ni mzima, naomba akakimbie uwanja wa Taifa azunguke hata mara moja kama hataishia ICU. Na kama ni mzima, anatumia fedha za nchi kwenda kutibiwa nini ujerumani kila wakati au
"Ushauri wa bure kwa wapambe wa
Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni
halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia
zisizo halali ni haki ya kila mtu
kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu
Ccm." Dr Diallo
*Huo ushauri hapo nami naanza.kuufanyia kazi kuna mshikaji frienda of Low-hasa ananiunga nami nijilie pesa kiulaini.