Habar ya jioni jf members,leo nimefanya diagnostic ya gari yangu na majibu ilikuwa kama inavyoonekana hapo kwenye picha,naomba mwenye uzoefu anipe ushauri wa nini cha kufanya ili niweze kuondokana na tatizo hili maana gari imeanza kukosa nguvu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.