DIAGNOSTIC CODES

kichomvi

Member
Jul 29, 2017
5
1
Habar ya jioni jf members,leo nimefanya diagnostic ya gari yangu na majibu ilikuwa kama inavyoonekana hapo kwenye picha,naomba mwenye uzoefu anipe ushauri wa nini cha kufanya ili niweze kuondokana na tatizo hili maana gari imeanza kukosa nguvu.
Screenshot_2018-03-16-16-49-28.jpg
 
Safisha sensor YA camshaft kwanza ikikataa kfanyakazi funga mpya au inwezekana wire imekatika
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom