MAGALEMWA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 6,415
- 4,881
Kwa kiharusi chako unamuwaza Mbowe asiwe mwenyekiti ndiyo demokrasia. Huangalii taratibu katiba na Kanuni za chama unaangalia ndoto za ccm. Endelea kuota Mbowe anabaki kuwa mwenyekiti na nyinyi endeleeni na demokrasia yenu ya wenye kifafa.Kuna wabakaji wa demokrasia kama Chadema??
Kwanini hamfanyi uchaguzi wa ndani ya chama??