DHL is shutting down Tanzania operations

DHL is shutting down Tanzania operations

Watanzania wapate shida kwa kukosa kodi kiasi gani??ilikuwa inaingiza mapato kiasi gani??

by the way ineondoka na kuhamishia shughuli zake kwa mwingine kwa hiyo hoja yako ni ya kukurupuka .

wasomi wa Kata mna shida sana!na akili zenu za MIGA!!
Mnashangilia kweli, Hao wafanyakazi wataenda wapi? au mtawaajiri huko Lumumba?
 
DHL ilipoteza mvuto baada ya kufanya kazi za TRA . Ukitumiwa parcel kutoka nje DHL wame link system zao na TRA na lazima value ya item/ parcel ikakadiriwe upya na TRA na hivyo kuchukua wiki 1 - 2 kuweza kupata parcel baada ya kuingia nchini. Inachukua muda mrefu zaidi kwa parcel iliyofika kuwa cleared through DHL kuliko muda mfupi uliotumika kwa item kusafirishwa
 
Watanzania wapate shida kwa kukosa kodi kiasi gani??ilikuwa inaingiza mapato kiasi gani??

by the way ineondoka na kuhamishia shughuli zake kwa mwingine kwa hiyo hoja yako ni ya kukurupuka .

wasomi wa Kata mna shida sana!na akili zenu za MIGA!!
Tusipolipwa makinikia tutazaa na nyie!
Haiwezekani tukose noah zetu kibwegebwege na magufall ametukamatia mwizi wetu "redihendedi"
 
Nilishawaambia DHL kuwa kwa kufanya kazi za kukukusanya Kodi kutakimbiza wateja na kampuni itapata hasara . Sasa yamekuwa. Kampuni nzuri iliyobaki ya kusafirisha parcel ni fedEX na UPS
 
Waliwahi sababisha tukalipa kodi ya 3mil kwa mzigo ambao ningelipa 300,000 tsh
 
Kama kuna watu wamenisababishia hasara basi DHL ni wamojawapo...parcel ikipitia kwao ikikufikia salama labda ni 1piece/package lakini kama ni mzigo mkubwa utaliwa tu bora EMS wako clean.
 
DHL Logistic and not DHL Express..so DHL Express bado inaendela kama kawaida au mimi ndio sielewi?
Upo sawa kaka....
Watu hawajui ila dhl ina divisions zake 3 hapa nchini kuna dhl express wale wa vifurushi,dhl supply chain wanaofanya warehousing na distribution na dhl global fowarding hawa ndio logistics wanaofanya kazi za clearing and forwarding. Sasa division iliyofungwa ni dhl global forwarding ila hizi nyingine mbili zipo na zinalipa kodi...kati ya mambo dhl hawaleti utani nayo ni compliance na sheria ya nchi husika yan utafukuzwa kazi kwa kutofat sheria hasa kulipa kodi na mambo ya afya na usalama.
 
how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?
Inaonyesha ni kwa jinsi gani chuki imejengeka kwa tz wengi! Unafurahi DHL kufungwa? Unajua ni watz wangapi watapoteza ajira zao? Mkuu xng asante kwa maneno ya busara.
mkuu unapoteza mda wako kuwajibu watu design hio walioshikiwa akil
 
Back
Top Bottom