Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Ni shida..ukiona hivyo ujue hakijaeleweka
Umesomeka vizuri.Upo sawa kaka....
Watu hawajui ila dhl ina divisions zake 3 hapa nchini kuna dhl express wale wa vifurushi,dhl supply chain wanaofanya warehousing na distribution na dhl global fowarding hawa ndio logistics wanaofanya kazi za clearing and forwarding. Sasa division iliyofungwa ni dhl global forwarding ila hizi nyingine mbili zipo na zinalipa kodi...kati ya mambo dhl hawaleti utani nayo ni compliance na sheria ya nchi husika yan utafukuzwa kazi kwa kutofat sheria hasa kulipa kodi na mambo ya afya na usalama.
Anaelewa nini huyo Mkuu, hajawahi kusafirisha chochote hats kwenda Nairobi tu!?how come campuni world wide ipate shida? unajua DHL ni ya wapi?
em fikirisha akilii yako kidogo watao pata shida ni dhl au watanzania wenzako na nchi yako kwa kupoteza chanzo cha mapato?