Dhima ya mkakati wa kuwa na Plan B

Dhima ya mkakati wa kuwa na Plan B

.
IMG_20180314_135733_553.jpg
 
Siwabezi vipepeo wanaotarizi macho humu, hususani nyuzi zako. Suala la mapinduzi lina kasi sana, jamaa wangu wa karibu tulishaongea nae toka mwaka jana.

Akitoka huyu ataingia nani? Na yule atakaekua wa mpito ataimudu ofisi?

Tupilia mbali hayo, tarehe 26.04.2018 itakua alhamisi kama sijakosea. Mange ana hamasisha watu waende ofisi za serikali, huko hakutakua na mtu yeyote. Ilo tuache, ijumaa itakuaje? Wiki inayofuata je? Watanzania wanaweza himili muda gani kufanya maandamano hayo?

Basi tufikilie mbali zaidi. Wasomi wao huita timeline, kuna siku-miezi-miaka wakati mwingine mihongo. Itawachukua muda gani watawala kunyosha mikono na kuachia serikali? Na mambo mambo mangapi yatatokea hapo katikati?

Inahitajika nguvu gani ama episodes zipi hadi kuachia madalaka? Chama Kim-renounce? Hapana hawawezi! They’re too disjointed. Vipi kuhusu bunge? Nani ana kifua cha kupeleka “motion” ya kumwengua raisi? Hakuna pia. Solution ni nini? Are we desperate?

SWALI KUU KULIKO YOTE, KINAHITAJIKA NINI KUMTOA RAISI MADARAKANI? KWA MBINU IPI NA NGUVU KIASI GANI? Mwisho, KWA MUDA GANI?
[emoji362]
 
Hili wazo nilikua nalo mwaka 2012 ila siliamini tena. Hii mbinu inafanana na zile nyingi za kijasusi miaka mingi iliyopita. Je, zina ufanisi? Sio sana! Mbinu hizi zilipandikizwa kwa watoto au vijana wadogo sana kwa mantiki hii zilifanikiwa. Upande wa pili angalia gharama zilizotumika, hizi ni black ops zina mifuko mirefu sana! Sio Billion bali trillions.

Basi tuongee vitu vyepesi, ni watu wangapi ulishawahi kutanana nao (30+ yrs) anaeweza kutii amri bila kuuliza. Achilia mbali hilo, wangapi wapo tayari kutupilia mbali ndoto zao ili wakatafute malengo ya kufikirika.

Unakumbuka vizuri mawaziri vivuri, kwa lugha nyepesi watu wananunulika. Wanasiasa wote tayari wana malengo yao wameandika moyoni. Wengi ukiwaambi uwape uraisi hawatokubali, hata wewe ukiletewa ombi uwe mkurugenzi kampuni flani ni vigumu kukubali. Think about your autonomy for just a paycheck! Wakati hata sasa unaishi umeridhika. Why change?
umefikiria sana hapa "hongera"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom