😀 😀 😀 😀 😀Hii ni siku ya majeshi yetu kufanya usafi na kupanda miti
Mkuu hauhitaji kuwa masihi kujua hilo.Mzee umekuwa masihi umeteremshiwa dodoso kutoka mbinguni au unatumia vipimo gani kujua kama huu utawala umelaaniwa na huu umebarikiwa ..?
Ninachoongea ni mkakati wa muda mrefu... Ulichoniuliza sitaweza kukujibu hapa kwenye open forum
Wakati si milele... From what I know ukitaka kuiyeyusha barafu utaiongezea joto na ukitaka kuua makali ya kemikali utadisolve na majiSiwabezi vipepeo wanaotarizi macho humu, hususani nyuzi zako. Suala la mapinduzi lina kasi sana, jamaa wangu wa karibu tulishaongea nae toka mwaka jana.
Akitoka huyu ataingia nani? Na yule atakaekua wa mpito atakimudu ofisi?
Tupilia mbali hayo, tarehe 26.04.2018 itakua alhamisi kama sijakosea. Mange ana hamasisha watu waende ofisi za serikali, huko hakutakua na mtu yeyote. Ilo tuache, ijumaa itakuaje? Wiki inayofuata je? Watanzania wanaweza himili muda gani kufanya maandamano hayo?
Basi tufikilie mbali zaidi. Wasomi wao huita timeline, kuna siku-miezi-miaka wakati mwingine mihongo. Itawachukua muda gani watawala kunyosha mikono na kuachia serikali?
Inahitajika nguvu gani ama episodes zipi hadi kuachia madalaka? Chama Kim-renounce? Hapana hawawezi! They’re too disjointed. Vipi kuhusu bunge? Nani ana kifua cha kupeleka “motion” ya kumwengua raisi? Hakuna pia.
SWALI KUU KULIKO YOTE, KINAHITAJIKA NINI KUMTOA RAISI MADARAKANI? KWA MBINU IPI NA NGUVU KIASI GANI? Mwisho, KWA MUDA GANI?
Wakati si milele... From what I know ukitaka kuiyeyusha barafu utaiongezea joto na ukitaka kuua makali ya kemikali utadisolve na maji![]()
![]()
Na America pale chirac utauitaje ? vipi na wasomalia nao ? njoo na hapa kwetu EA kwa majiran Kenya nao utaaitaje?Ni utawala uliotapakaa na kunuka damu tupu za watu wasio na hatia
Thanks but just consider my methodology... Daima kikulacho ki nguoni mwako... Kwanini tusitumie huu mkakati wa kununua viongozi wa UPINZANI kama the only chance kupenya kwenye system yao!!? Unawaandaa kisaikolojia umawawezesha (kiufundi) wakafanye kazi... Jiwe la mbali haliuwi ndege wala fimbo ya mbali haiui nyoka....Vyema! Bahati mbaya hatuna milele.
Umejibu vizuri, natural sciences zina solutions za moja kwa moja sana. Upande wa sayansi ya jamii kuna utata sana lakini inawezekana. There millions of possibilities! Fikiria kutatua tatizo la ukimwi au umaskini. Elimu haitoshi, matatizo yana mizizi zaidi ya ujinga! Wakati mwingine ni asili ya mwanadamu.
Unahitaji kuwa nani sasa Gwajima? hivi unajua maana ya kulaaniwa wewe ? kuna kipindi cha miaka 80 sijui kama ulikuwa ushazaliwa Ethiopia ilipita kwnye kipindi kigumu sana at least unaweza sema wale walipata laana . Kama ulikuwa umeshazaliwa miaka ya 80 utakuwa unajua nini namaanisha hapa.Mkuu hauhitaji kuwa masihi kujua hilo.
Thanks but just consider my methodology... Daima kikulacho ki nguoni mwako... Kwanini tusitumie huu mkakati wa kununua viongozi wa UPINZANI kama the only chance kupenya kwenye system yao!!? Unawaandaa kisaikolojia umawawezesha (kiufundi) wakafanye kazi... Jiwe la mbali haliuwi ndege wala fimbo ya mbali haiui nyoka....
Learn to be close with your enemy....
Wordless... Rather speechless... We still have great thinkersHili wazo nilikua nalo mwaka 2012 ila siliamini tena. Hii mbinu inafanana na zile nyingi za kijasusi miaka mingi iliyopita. Je, zina ufanisi? Sio sana! Mbinu hizi zilipandikizwa kwa watoto au vijana wadogo sana kwa mantiki hii zilifanikiwa. Upande wa pili angalia gharama zilizotumika, hizi ni black ops zina mifuko mirefu sana! Sio Billion bali trillions.
Basi tuongee vitu vyepesi, ni watu wangapi ulishawahi kutanana nao (30+ yrs) anaeweza kutii amri bila kuuliza. Achilia mbali hilo, wangapi wapo tayari kutupilia mbali ndoto zao ili wakatafute malengo ya kufikirika.
Unakumbuka vizuri mawaziri vivuri, kwa lugha nyepesi watu wananunulika. Wanasiasa wote tayari wana malengo yao wameandika moyoni. Wengi ukiwaambi uwape uraisi hawatokubali, hata wewe ukiletewa ombi uwe mkurugenzi kampuni flani ni vigumu kukubali. Think about your autonomy for just a paycheck! Wakati hata sasa unaishi umeridhika. Why change?
... Umeniongezea kitu....26/4/2018Tunaenda sawa save the date
Ukimwi wenyewe naushukuru sana ingawa pia umekula watu wenye faida duniani.Umekula majambazi na wababe wa mitaani kwetu,umemaliza maccm yaliyokuwa yakila vyma vya ushirika vilivyokuwa na majsho ya wananchi masikini. Ukimwi pia umemaliza askari wabakaji wa watuhumiwa vituoni. Sasa ujinga nao utatukomboa soon.Watu wajinga ni km nyumbu, kuna kipindi kinafika ukiwanyooshea bunduki hawajui kukimbia,au pengine wasijue hatari yake, na ukipiga risasi wanapanic na kuanz akimbia hovyo sana hadi hawaogopi tena hatari iliyopo mbele yao.Vyema! Bahati mbaya hatuna milele.
Umejibu vizuri, natural sciences zina solutions za moja kwa moja sana. Upande wa sayansi ya jamii kuna utata sana lakini inawezekana. There millions of possibilities! Fikiria kutatua tatizo la ukimwi au umaskini. Elimu haitoshi, matatizo yana mizizi zaidi ya ujinga! Wakati mwingine ni asili ya mwanadamu.