Dhima ya kupost usiku! Wapishi wa JF

Dhima ya kupost usiku! Wapishi wa JF

Hamlali? Ama hulali? Ni swali la kawaida sana ambalo limeshaulizwa na members wanapokuta kuna new post hasa wanapotoka usingizini.

Unajua tunapoenda asubuhi kupata staftahi ya chochote iwe chai kongolo mtori supu nk kuna watu walidamka alfajiri kuandaa ili afisa ukija upate mambo.

Tuna wezi matapeli walozi hata wanga lakini wote hawa wanastahili kula chakula kitamu cha JF kisichokifu, labda tu kama hakupendi ama una mzio

Kama ilivyo kawaida...ukilala wenzako wanaamka...ukilaza wenzako wanaamsha...
 
writer-at-night.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna wezi matapeli walozi hata wanga lakini wote hawa wanastahili kula chakula kitamu cha JF kisichokifu, labda tu kama hakupendi ama una mzio
 
Back
Top Bottom