Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

pamoja nawaza kwa vipi kauli zake mwigulu na nape kuwa Arusha watakufa wasipochagua ccm hazijachunguzwa ila polisi wanaweza komaa na Chadema nisaidie kupata jibu

Nimekuelewa, actually nawaza kama unavyowaza, nilikuwa najaribu kuangalia upande mwingine wa shilingi. Siasa ipo na resistance ya chama tawala kwa mabadilko ipo. matumizi mabaya ya vyombo vya dola yapo, ndiyo maana unaona hata viongozi wa juu wa serikali wanakandamiza wananchi wakati mkutano ule ni wa halali.
 
Kwani polici ni nani kwanza maana wamepanda chati wamekua mastar zaidi ya wema
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
Aliyekuwa Mbunge wa Shinyanga(CCM) Bw Leonard Derefa aliwahikusema bungeni kuwa jeshi la Polisi livunjwe.Sababu alizotoa bado ziko hai na sababu nyingine zinaendelea kuongezeka na ndiyo sababu hasa ya nchi kutotawalika. Kwa hakika kwa matendo haya ya serikali ya CCM nchi haiwezi kutawalika, kwa kuwa hivi sasa watanzania TAYARI wamekwishajenga UASI dhidi ya Wansiasa Uchwara wa CCM.
 
Wanafunzi wanaandamana tuu pale wanapodai mambo yao.

Brazil wanaandamana kwa maslahi ya kitaifa na siyo kwa maslahi ya kikundi fulani cha watu.

Wa TZ ni wabinafsi na wanafiki hawawezi kuandamana kwa maslahi ya kitaifa hata siku moja.
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
Wewe utakuwa yule njago aliyetupa lile bomu! Policcm aka gogo la chooni la mafisadi!!Umethubutu kuquote maneno ya muadilifu Nyerere kuhalalisha ugaidi wako!! MUNGU YUPO NA ANAKUONA!! time will tell the truth and the truth is now at our amidst!!
 
CCM wana hospitali ipi?

Sasa mnawapigia kelele CCM za nini waache waongoze zamu yenu CDM ya kufanya ujinga wenu itafika kama mkijitahidi la hasha mtaishia kunawa na chama kina kila dalili ya kufa kifo cha mende. Kwanza chama kina wavuta bangi sijwahi ona. Waende Jamaica pengine watafagiliwa.
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
wewe ni mbumbumbu wa mambumbumbu,na unasikitisha sana kwa mawazo yako haya ya kijinga,peleka upuuzi huu kwenu,wauaji unajua kabisa ni ccm,kazi yao ni kufaidisha matumbo yao tu,wananchi wamechoka na ipo siku wataingia mitaani kushinikiza serikali ijiuzulu boya wewe.watu wananyanyasika,wanauawa,wanaonewa halafu wewe unaongea nini,nikuulize,kauli ya mwigulu kwamba arusha mtakufa mbona huzungumzi,boya wewe.
 
Back
Top Bottom