Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

Unajua ustaarabu ni jambo la bure kama unaona alichoandika hakifai usimtukane na kutaka kila mtu aunge mkono hao magaidi yanayojilipua yenyewe na kutaka coverage, tuachieni arusha yetu jaman kwani hata huko kwingine kama singida kwa lisu, hai kwa mbowe ni majimbo pia why always arusha? Alafu watu wa arusha acheni kutumika dada wa watu amekufa ameacha watoto watatu huku waliopanga iyo plan wanakula bata tu na kuongeza cheap popularity kwa kusapotiwa na wapiga debe wa stand, atakaenitukana anawashwa na he is ready to be ----ed weather mwanamke au mwanaume

Mkuu hapo kwenye red unaweza kuisadia polisi kudhibitisha hilo? vipi kuhusu watoto wadogo waliokufa nao unawaita magaidi mwogope Mungu ndugu yangu siasa isikufumbe macho kiasi hicho.
 
Kuwa mchungaji si kigezo cha kutokuwa mwanasiasa, kama aliongea haya basi alichofanya ni kuhubiri siasa na si injili

hoja hapa sio msemaji wa kauli husika bali ni kauli husika
"Tanzania ya leo sio ya jana, hata yule mpumbavu namba moja anaelewa udhalimu unaocfanywa na serikali hii"
 
Huwa nasikitika sana Mtanzania mwenzangu anapokuwa na mawazo kama haya...anatetea serikali hiihii?....Kesho yake akiumwa analalamika kulala chini Mwaisela!

CDM wanahospitali kama za New Delhi na Madaktari Bingwa nendeni huko au siyo?
 
ccm mna hila mbaya..ccm hampendani wenyewe kwa wenyewe,ccm mnapenda matumbo yenu,ccm mmefanya hii nchi kuwa shamba la bibi..,mmekandamiza mawazo na maamuzi ya WTZ sana.Hili liko wazi.

kuanzia NCCR,TLP,CUF sasa CHADEMA mmewaonea wtz sana.Na wale mliotumwa huku jf kuandika upumbavu,muwe makini.msije huku ku deffend utajiri fake (wizi wa mali za umma) wa ndgu zenu huku.Mnapata wapo ujasiri huu?

Najiuuliza kwa nini tz tupo nyuma kila nyanja ...
-elimu
-afya
-miundombinu n.k hakuna kitu.... barabara ni huku mjini tu tena ni za misaada.AIDHA si kwamba uwezo hatuna wa kujenga kwa fedha zetu wenyewe..TATIZO ni Udumavu wa akili na kushindwa kuelewa dhamana ya madaraka.

maisha ya mtanzania ni magumu tena sana,narudia kusema ni magumu sana.
Kwa ujumla nenda vijijini uone,

-nenda nzega tabora,
-nenda mpanda
-nenda kibondo
-nenda mbozi
-nenda kishapu,
-nenda kilolo
-nenda igunga
-nenda lindi kwa ujumla n.k utashanga maisha ya wakazi wa hii miji,hawaeleweki,hawana mbele wala nyuma,akila asubuhi hajui kama atakula tena kwa siku hiyo.La kushangaza hawa hawa waliopo madarakani wana majumba/mahekalu kila kona ya hii nchi!!!!!!!!

Lazima watz tubadilike kifikra. TZ ya leo siyo ya kesho,maisha ya leo siyo ya kesho,fedha yako ya leo siyo ya kesho.
lazma tuwe na strategic plan.Leo uko hai kesho huna uhakika nayo.JE ukifa leo uliowaacha watakuwa wageni wa nani ndani ya hii nchi yenye walanguzi wa roho za watu wasiofikiria kuhusu mwenzao yeyote zaidi ya ndgu zao na matumbo yao.Waovu wanaokubali kupewa tsh,7,000/= na lap top kuja kuwaada wazalendo humu jf.!!!
 
Hivi ukitawala watu wenye njaa, ujinga, umasikini, maradhi, rushwa, ufisadi, utapeli, ubadhilifu, vilio, .... n.k. utasema kuwa watu hawa wantawalika?
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
Nikikutana na mawazo ya watu kama hawa ninaumia roho, hivi kwa akilizako SALMA ni nani anavuruga amani ya Tanzania. Sawa wewe kuwa Mnazi wa CCM, hivi unadhani unaweza kuwapumbaza watu wenye akili. Kwa hapa kama unatafuta angalau kupewa kibarua chochote ndani ya CCM wewe kawaandikie barua ujieleze huko labda wanaweza kukuajili siyo lazima unaze kwa kuichafua CHADEMA ili upendwe na CCM. Hivi kufanya mkutano wa kufunga kampeini walikuwa na kosa lipi? au je kukutana kwa ajili yakuaga wenzao waliokufa walifanya dharau gani kwa Polisi? Kama wewe ni mtenda haki basi mkemee anayeshambulia badala ya aliyeshambuliwa.
 
Wanafunzi wanaandamana tuu pale wanapodai mambo yao.

Brazil wanaandamana kwa maslahi ya kitaifa na siyo kwa maslahi ya kikundi fulani cha watu.

Mwanafunzi hujifunza kisimamia masuala yake kwanza kabla ya kuwa msimamizi wa masuala ya jumla kama taifa....mfano J K Nyerere alipokua shuleni alipigania ya shule kwanza na alipoweza kuhitimu masomo yake pia alihitimu upiganiaji haki..., hivyo wanafunzi hujifunza kuwa vinara wa kupigania haki mashuleni .... ndio maana serikali ya CCM hua haitaki wanafunzi kufanikiwa ktk madai yao ili kuwavunja moyo na ili wasihitimu kuwa wasimamizi wa haki za kitaifa
 
CDM wanahospitali kama za New Delhi na Madaktari Bingwa nendeni huko au siyo?

Kwani CCM au CUF wanahospitali? kinachoongelewa hapa ni sera mbovu za afya zinazopelekea watu kulala chini mahospitalini sera ambazo zinasimamiwa na CCM(na CUF Zanzibar) .... Wewe kwa kutojua kwako unadhani jibu ni chama kuwa na hospitali....ila kidogo kidogo tutakusaidia kuelewa "mantiki" za kisiasa ili na wewe uweze kukaa mbele za watu ukatoa mada na sio pumba km hizo tena.
 
Chadema ni tatizo na ni mzigo kwa taifa hili

Heeeee Ona na huyu...! Inamaana UMASKINI, ELIMU NA MATIBABU DUNI kwako ni mambo mepesi...? umepata wapi ujasiri wa kunena hilo. Soma hata maandishi ya chama chako hakuna mahali ilipoandikwa mzigo wa taifa ni chama cha upinzani....?
 
[h=5]BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
[/h]

Umesema serikali watumie sheria....well, kwa nini uangaike na "third party" wakati unamjua mwenye mamlaka?? Kama chadema wanamakosa na serikali inashindwa kufanya chochote yupi wa kum"hold responsible?" kwa nini uangaike na mbwa wakati unamjua mfugaji??

Kwa nini hata huwezi kujenga hoja??
 
mkuu mawazo yako siyaping kwasababu ndivyo ulivyo labda nichukue fursa hii kupunguza angalau sehemu ya upofu wako wa mawazo. jukwaa ulilotumia kudanganya si jukwaa sahihi hayo sasa hivi hata kule kijijini kwetu hawakuelewi sasa iweje ukayaleta kwa watu wenye upeo humu jamvini?

kwel upumbavu ni upofu,
 
Ni kweli chadema ni mzigo kwa wachovu wa fikra hata darasani asiyelielewa somo husingizia mwalimu anaboa
 
Huwa nasikitika sana Mtanzania mwenzangu anapokuwa na mawazo kama haya...anatetea serikali hiihii?....Kesho yake akiumwa analalamika kulala chini Mwaisela!
huyHHhuyHu
Huyu akiumwa anapelekwa Apolo, angelikuwa analala Mwaisela asingeitetea serikali hii.
 
tumekusoma wahusika watafanyia kazi ushauri wako japo kunawatu nyeusi huwa wanaona nyeupe.

anguko la chadema lilitabiriwa bali utabiri haukusema chadema itaanguka kwa vipi. Kumbe ni kupigwa mabomi??????????
 
Kwani CCM au CUF wanahospitali? kinachoongelewa hapa ni sera mbovu za afya zinazopelekea watu kulala chini mahospitalini sera ambazo zinasimamiwa na CCM(na CUF Zanzibar) .... Wewe kwa kutojua kwako unadhani jibu ni chama kuwa na hospitali....ila kidogo kidogo tutakusaidia kuelewa "mantiki" za kisiasa ili na wewe uweze kukaa mbele za watu ukatoa mada na sio pumba km hizo tena.

Nashangaa sana ndugu zetu mnavyofikiria bila kuunganisha dots... hata CDM wakishika watatoa wapi sera nzuri na kuweza ku-implement? Swali la msingi ambalo najua hujui au umijisahaulisha -- Serikali ni nini?
 
Back
Top Bottom