Malinyingi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 864
- 164
Nguvu inayotumiwa na upinzani unaojulikana kama rasmi kutafuta madaraka pamoja na kauli za kibabe na vitisho vya nchi kutotawalika. Tunajua kabisa ushindi ni mbinu lakini ziwe mbinu safi. Tunahitaji mabaliko lakini yawe na amani na tija.