Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

Dhihaka ya CHADEMA kwa jeshi la police

Unajua ustaarabu ni jambo la bure kama unaona alichoandika hakifai usimtukane na kutaka kila mtu aunge mkono hao magaidi yanayojilipua yenyewe na kutaka coverage, tuachieni arusha yetu jaman kwani hata huko kwingine kama singida kwa lisu, hai kwa mbowe ni majimbo pia why always arusha? Alafu watu wa arusha acheni kutumika dada wa watu amekufa ameacha watoto watatu huku waliopanga iyo plan wanakula bata tu na kuongeza cheap popularity kwa kusapotiwa na wapiga debe wa stand, atakaenitukana anawashwa na he is ready to be ----ed weather mwanamke au mwanaume
Udini utakuuwa ndugu lol! bila hata aibu unatoa na matusi juu..wapiga debe nao ni watanzania!
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI

Acha kueneza chuki zisizo za msingi, wewe ndie unaepanda mbegu za udini, ukanda na ukabila, ndio maana watu wa Mtwara wanataka gesi ibaki huko, sababu ya poor ideology kama zako. Tengeneza hoja za msingi kuwashawishi wananchi zenye kugusa mahitaji ya msingi ya wananchi.
 
Hivi ccm inawapiga kura wangapi. Maana kuhudhuria mikutano malori yanahitajika na posho kwa wasikilizaji, kupiga kura inabidi ulipe watu kwa ajili ya kupiga na kununua kura. Ukiona chama kimefika mahali hapo ujue kimwili hakipo.
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI

Kuliko kuhamia chama kinacho-support ushoga nitabaki hapa hapa Chadema kwa kweli.Maliberali mna kazi.
 
Kuwa mchungaji si kigezo cha kutokuwa mwanasiasa, kama aliongea haya basi alichofanya ni kuhubiri siasa na si injili
Kwa wachungaji si wanachama wa vyama vya siasa..? tena Mtikila ni mwenyekiti kabisa wa chama cha siasa
 
Unajua ustaarabu ni jambo la bure kama unaona alichoandika hakifai usimtukane na kutaka kila mtu aunge mkono hao magaidi yanayojilipua yenyewe na kutaka coverage, tuachieni arusha yetu jaman kwani hata huko kwingine kama singida kwa lisu, hai kwa mbowe ni majimbo pia why always arusha? Alafu watu wa arusha acheni kutumika dada wa watu amekufa ameacha watoto watatu huku waliopanga iyo plan wanakula bata tu na kuongeza cheap popularity kwa kusapotiwa na wapiga debe wa stand, atakaenitukana anawashwa na he is ready to be ----ed weather mwanamke au mwanaume

NIMEJARIBU KUSOMA COMMENTS ZA WATU WENGI HAPA, Lakini napata shida kidogo kuelewa, kwanini watanzania sisi tumeliangalia swala hili la milipuko kiurahisi sana hivi ? Pale bomu lilipolipuka Kanisani tulisema ni siasa tu, watu walipoteza maisha na hatujapata majibu mpaka leo hii tumeishia kumshikilia driver wa boda boda kuwa ndio mtuhumiwa wa mauaji !Hivi karibuni limelipuka kwenye mkutano wa Chadema, tunasema ni siasa tu, na tunafikiri wamejilipua wenyewe. Mimi sijali kuwa wamejilipua au wamelipuliwa, naomba tuone hili kama ni tatizo la uharifu, maana watu wamepoteza maisha na wengine kwa maelfu wameumia. Tukikalia CHADEMA na CCM hapa, hata mwarifu hatapatikana. Kwanini Makanisa wajilipue wenyewe ? kwanini vyama wajilipue vyenyewe ? Sherehe za makanisa na maeneo mengine ya ibada zimefanyika mara ngapi ? Mikutano ya siasa imefanyika mara ngapi ? kwanini wakati huu Milipuko imetuandama ? Please my brothers, naomba tuache ushabiki kwenye hili, lets discuss and think critically ili tuweze kujua what is behind these explosions/bombs ! Nimesikiliza mapolisi wanaongea kwa ushabiki tu, as if ni kitu rahisi sana, TUTAKAPOSHITUKA, TUTAKUWA TUMEISHAPOTEA. Tuache kusahau hoja ya msingi na kuanza kujadili kwanini watu walikusanyika bila kibali kwenye msiba wa Judith ( Mungu amweke mahali pema peponi), Tuanze kwenye bomu lililolipuka kwenye Mkutano ambalo lilisababisha vifo. Nani kafanya hayo ? kwanini ? Tendo la watu kukusanyika ni matokeo tu ya kilichotokea. Kisha tuangalie hizo nguvu zinazotumiwa na vyombo vya dola against political movements, NI SAWA ? Hata tukitukanana hapa matusi ya aina zote, HATUTAJENGA LOLOTE ZAIDI YA KUUMIZANA TU KISAIKOLOJIA.
 
[h=5]BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
[/h]

Acha ujinga wewe.
 
Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache

duu. umetoka sayari gani ndugu. amka?!!!!!!
 
ni yale yale tunayoongea siku zote kuwa ni akili ndogo kutaka kutawala akili kubwa,wewe ndugu yangu sidhani kama una mwelekeo mzuri na kile unachokijua,je mwigulu aliyesema wakazi wa Arusha msipoichagua ccm magamba mtakufa yeye naye ni upinzani
 
Watu kama nyie ndio mnasubiri t shirt kofia na kanga za ccm wakati wa kampeni ili mpate za kutokea.
baba wa taifa mwl julius kambarage nyerere anasema katika kitabu chake cha" tujisahihishe"ukweli una tabia moja nzuri sana,haujali mkubwa wala mdogo,haujali adui wala rafiki,kwake watu wote ni sawa,pia ukweli una tabia ya kujilipiza kisasi kama ukipuuzwa.ukiona nataka kulipiga teke jiwe kwa kuwa nafikiri ni dongo au mpira,natumaini utanionya,lakini nikilipuuza onyo lako kwa sababu eti wewe ni mdogo au kwa sababu sikupendi ,nikalipiga teke,basi litanivunja dole japo ningekuwa nani.ukweli haupendi kupuuzwapuuzwa....

Baada ya kushindwa tu dk slaa alitangaza na cd zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona tanzania inakoelekea..kama serikali mtaendelea kuwachekea chadema tanzania itakumbana na mauaji ya kimbari..kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba sheria mama kwa nini mnawachekea chadema? Tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono chama cha demokrasia na maendeleo kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. Nasema imefika wakati muafaka watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,mungu ibariki afrika.mungu ibariki tanzania...ahsanteni
 
[h=5]BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
[/h]

Wewe ndo mwenye akili fupi, uwezo wako mdogo wa kufikiri ndo unakufanya uwaze upuuzi huo.
 
Huwa nasikitika sana Mtanzania mwenzangu anapokuwa na mawazo kama haya...anatetea serikali hiihii?....Kesho yake akiumwa analalamika kulala chini Mwaisela!
Nami pia nashangazwa na watanzania wanaobadili mada humu jamvini.Ugaidi wa chadema na mwaissela vinauhusiano gani?
 
Serikali na Polisi wafanye kazi yao na watuletee majibu yenye tija. Haya majibu ya wanasiasa na watu wanaofaidi mfumo kuleta majibu ya kisiasa hapa ambayo hayana logic hayasaidii badala yake yanalingamiza taifa hili. Mfumo wa utendaji kazi na uwezo wa watu kuchambua mambo kwa sasa ni tofauti kabisa na miaka ya 1990. Serikali ya sasa inabidi ikubadilike kutokana na mfumo wa technolojia na maswala mengine kubadilika, ikichelewa kubadilika, itabadilishwa. "You never change things by fighting the existing reality.To change something, build a new model that makes the existing model obsolete.” by Richard Fuller).
 
BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI

Kwa hiyo unataka tuwe Waliberali kama nyie au??

Kamwe hatutakubaliana na mambo yenu ya ndoa ya jinsia moja na use*nge, imekula kwenu. Polisi ndio wanaoongoza kwa kuchukua sheria mkononi na kuua watu, hiyo kila mwenye akili anajua. Na uchaguzi wa madiwani uliopita umeonyesha kuwa CHADEMA ina watu wengi kuliko CCM kwa kuangalia overall votes na ndio maana baba yako Pinda alikuwa amepanic jana kama mjusi kabanwa na mlango
 
We mpumbasvu na maskini wa mawazo unamhutubia nani? Hata hujitambui - pole sana. We ni katika wale wanaoamini umaskini ulionao ni haki yako na wala si wa kusababishwa na hii serikali na CCM dhaifu.
 
NIMEJARIBU KUSOMA COMMENTS
ZA WATU WENGI HAPA, Lakini napata shida kidogo kuelewa, kwanini
watanzania sisi tumeliangalia swala hili la milipuko kiurahisi sana hivi
? Pale bomu lilipolipuka Kanisani tulisema ni siasa tu, watu walipoteza
maisha na hatujapata majibu mpaka leo hii tumeishia kumshikilia driver
wa boda boda kuwa ndio mtuhumiwa wa mauaji !Hivi karibuni limelipuka
kwenye mkutano wa Chadema, tunasema ni siasa tu, na tunafikiri
wamejilipua wenyewe. Mimi sijali kuwa wamejilipua au wamelipuliwa,
naomba tuone hili kama ni tatizo la uharifu, maana watu wamepoteza
maisha na wengine kwa maelfu wameumia. Tukikalia CHADEMA na CCM hapa,
hata mwarifu hatapatikana. Kwanini Makanisa wajilipue wenyewe ? kwanini
vyama wajilipue vyenyewe ? Sherehe za makanisa na maeneo mengine ya
ibada zimefanyika mara ngapi ? Mikutano ya siasa imefanyika mara ngapi ?
kwanini wakati huu Milipuko imetuandama ? Please my brothers, naomba
tuache ushabiki kwenye hili, lets discuss and think critically ili
tuweze kujua what is behind these explosions/bombs ! Nimesikiliza
mapolisi wanaongea kwa ushabiki tu, as if ni kitu rahisi sana,
TUTAKAPOSHITUKA, TUTAKUWA TUMEISHAPOTEA. Tuache kusahau hoja ya msingi
na kuanza kujadili kwanini watu walikusanyika bila kibali kwenye msiba
wa Judith ( Mungu amweke mahali pema peponi), Tuanze kwenye bomu
lililolipuka kwenye Mkutano ambalo lilisababisha vifo. Nani kafanya hayo
? kwanini ? Tendo la watu kukusanyika ni matokeo tu ya kilichotokea.
Kisha tuangalie hizo nguvu zinazotumiwa na vyombo vya dola against
political movements, NI SAWA ? Hata tukitukanana hapa matusi ya aina
zote, HATUTAJENGA LOLOTE ZAIDI YA KUUMIZANA TU KISAIKOLOJIA.

pamoja nawaza kwa vipi kauli zake mwigulu na nape kuwa Arusha watakufa wasipochagua ccm hazijachunguzwa ila polisi wanaweza komaa na Chadema nisaidie kupata jibu
 
Unajua hiyo nick name yako ni kiislamu- labda na wewe ni mwislam-kwenye uslamu mnafki anachukiwa kweli na mwenyezi mungu ..anasema mnafki anwekwa kwenye daraja la chini kabisa la moto....maana hapo wewe ndo unaeneza chuki na ubaguzi na si hao unao wasema...
 
[h=5]
Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO I
[/h]

Wachache unatumia Mizani ipi? Hivi unajua kura zote za Udiwani juzi zikijumlishwa pamoja CDM wameifunika CCM kwa mbali tu?

Mimi WAISLAM wenzangu wanafki kama wewe nawasubiri 2015 MACCM watakapo Msimamisha MKatoliki Lowasa au Memmbe, Sijuhi mtaficha wapi sura zenu.

Na ole wenu CDM Imsimamishe Muislam sijuhi yani nasema sijuhi Mtajificha wapi.
 
[h=5]BABA WA TAIFA MWL JULIUS KAMBARAGE NYERERE ANASEMA KATIKA KITABU CHAKE CHA" TUJISAHIHISHE"UKWELI UNA TABIA MOJA NZURI SANA,HAUJALI MKUBWA WALA MDOGO,HAUJALI ADUI WALA RAFIKI,KWAKE WATU WOTE NI SAWA,PIA UKWELI UNA TABIA YA KUJILIPIZA KISASI KAMA UKIPUUZWA.UKIONA NATAKA KULIPIGA TEKE JIWE KWA KUWA NAFIKIRI NI DONGO AU MPIRA,NATUMAINI UTANIONYA,LAKINI NIKILIPUUZA ONYO LAKO KWA SABABU ETI WEWE NI MDOGO AU KWA SABABU SIKUPENDI ,NIKALIPIGA TEKE,BASI LITANIVUNJA DOLE JAPO NINGEKUWA NANI.UKWELI HAUPENDI KUPUUZWAPUUZWA....

Baada ya Kushindwa tu Dk Slaa alitangaza na CD zipo nchi hii haitatawalika na sasa tunaona Tanzania inakoelekea..kama Serikali mtaendelea kuwachekea CHADEMA Tanzania itakumbana na Mauaji ya Kimbari..Kama nchi inaongozwa kwa mujibu wa katiba Sheria mama kwa nini mnawachekea Chadema? tumieni sheria kuwaadhibu,tumechoka na kuwachekea na kuwabembeleza utadhani wao ndio wenye dola bana.

Ndugu watanzania naomba nitumie fursa hii kuwaeleza ukweli wale wachache wanaokiunga mkono CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwamba waweze kutoka huko,huko kuna magaidi,huko kuna ukabila,huko kuna udini,huko kuna kuligawa taifa vipande vipande maana sera zao zimejikita kwenye majimboism nk,hawa ni watu hatari sana,tazameni wanavyofadhili matukio ya kigaidi huko Arusha,wanamwaga damu za watu wasio na hatia kwa manufaa yao binafsi.kwa uelewa wao mfupi wanadhani matukio kama haya ya ugaidi yanaweza kuifanya serikali iliyoko madarakani kushindwa kutawala ili wao waweze kufanikisha mambo yao. nasema imefika wakati muafaka Watanzania wajenge uasi dhidi ya hawa wanasiasa uchwara,wawakatae waziwazi tena mchana kweupe kwani ni hatari taifa letu kupoteza amani na mshikamano kwa sababu ya kundi la watu wachache wasio na nia njema....,MUNGU IBARIKI AFRIKA.MUNGU IBARIKI TANZANIA...AHSANTENI
[/h]
Tumia akili yako na cio kutumia akili ya kuambiwa pia jua kama wewe umeshiba kuna wengine wana njaaa. Sisi tuna akili sana na hatutaki kudhulumiwa na mafisadi. Ingekuwa vyema ukamwambie kikwete zile fedha za epa zimerudi na je ni watuhumiwa wangapi wako jela
 
Back
Top Bottom