Dhibiti wanaotumia Wi-Fi yako bila ridhaa yako, usitegemee password, siku hizi wanascan QR na kujoin wifi yako bila hata kuwa na password 😂

ZOYA internet

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
202
Reaction score
384
Kwa wote wanaomiliki wi-fi router au wanaotegemea kuwa nayo badae, ni muhimu sana kufahamu kua ukiset password ili mtu asiye na password asiweze kutumia wi-fi yako ujue umejipotezea tu mda mana bado unaweza kukuta watu wanajiunga na wifi yako kiulaini kabisa na hivyo kama umeweka kibiashara ukakuta watu hawalipii wanajoin tu bure bure. Password inatoa USALAMA KIDOGO SANA TENA KWA AMBAO SIO WAJANJA SANA ndio unaweza kuwazuia kwa password.

NJIA SALAMA NI IPI?
Njia nzuri ya kuhakikisha kua hakuna mtu anajoin wi-fi yako kama hujamuhitaji ni kujua kucheza na FILTERING RULES. Kila router inakua na admin portal yake. yani web page ambayo unaingia then unafanya setups zote za router yako including kubadilisha usernames password na mambo yote yanayoihusu router yako. Kwenye hiyo admin portal ndio pia kuna sehemu ya kuweka hizo filtering rule ambapo kuna rules kuu 2 za kudhibiti mtu usiemuhitaji kwenye wifi yako :-
1. WHITE LIST
2. BLACK LIST

WHITE LIST
Hapa ni unaweka list ya vifaa ambavyo hivyo tu ndio vitatakavyoweza kutumia wifi yako. Ikiwa tayari umeshaunganisha mtu wi-fi mfano, juma kaja na sim yake ya teckno, akiunganisha wifi yako kule kwenye admin portal utaona kua tecno inatumia wifi hiyo. Cha kwanza kabisa nashauri u rename lile jina tecno uweke juma. Akija hamisi akaunganisha pia wifi labda anatumia simu ya I phone, utaona kua iphone imeconnect na wifi yako, uta re name na kuandika pale hamisi, akija labda petro labda anatumia Samsung basi uta rename ili jina la kifaa kule kwenye admin portal lionekane Petro. Baada ya hapo utaenda kwenye filtering rule utaandika yale majina pamoja na mac address zao kila mmoja then kwenye aina ya rule utachagua allowed au whitelist. Hapo utakua umemaliza. Simu nyingine au computers tofauti na ile ya john, hamisi na petro hazitaweza kujiunga na wifi yako hata uwape password. Zingatia kifaa chako pia usikisahau unapoweka whitelist otherwise na wewe hutaweza kujiunga na wifi yako hadi ureset router 😅

BLACK LIST
Hii ni njia ya kublock kifaa kinachotumia wifi yako ikiwa hukihitaji. Njia hii unaweza kuitumia ikiwa hujatumia njia ya white list. Mfano umesha rename user wanaotumia wifi yako so wakijiunga na wifi yako unawaona pale juma hamisi petro nk.( hujaset whitelist). Badae unakuja kucheki unaona kuna kifaa kipya kimejoin bila ridhaa yako mfano unaona itel t20... Basi unaweza kucopy user name na mac address ukaenda kwenye filtering rule uka paste na ukablock hicho kifaa hapo mwenye hiyo itel hatoweza kutumia wifi yako HATA UMPE PASSWORD labda uje umuondoe kwenye blacklist

KWANINI NI MUHIMU KUFAHAMU HIVI?
Kuna mtu ataanza kusema nafundisha watu uchoyo😅, sio kweli huenda ni vile tu hamjajua kua wifi zinafanyaje kaz.
Iko hivi, unapopewa wifi router, nyingi zinakua hazina bando ispokua lain inayokaa kwenye ile router ndiyo inawezeshewa bando unlimited. Bando hilo unlimited linakua na limitations kwenye upande wa speed, yani hua kuna GB unazopewa ndizo uweze kuzitumia kwa mtandao wenye kasi zaidi kwa siku au kwa mwezi (mitandao inatofautiana). GB hizo zikiisha basi internet inakuepo ila kwa speed ndogo sana, unakuta hata chini ya mbps2 (hata wanaomiliki router wengine hawajui mana hawaambiwi mara nyingi ili wasijeacha kununua router😅).
Sasa wewe ndugu yangu unaetaka utumie wi-fi ya mwenzako bure jua unaenda kummalizia zile gb zake za kutumia kwa speed kubwa zikiisha mwezako mtandao utamsumbua sana mana speed ni ndogo hadi anaweza kwenda kuamua kujiunga vifurush tu vya kawaida. Pia wengine wameweka wifi kwaajili ya biashara. Ukijoin bila kulipia unamkwamisha mtu.

HATA HIVYO MUONEKANO WA WA ADMIN PORTAL PAGE UNATOFAUTIANA KULINGANA NA AINA YA ROUTER UNAYOTUMIA HIVYO UNAWEZA USIONE VIZURI SEHEMU YA FILTERING RULES AU KAMA WAMETUMIA MANENO TOFAUT NA HAYO NILIYOTAJAHAPO JUU UNAWEZA UKASUMBUKA KUWEKA HIZI RUSELS. NIPIGIE NIKUELEKEZE BUREE KIURAHISI MWANZO HADI MWISHO.

0717700921
PIA KWA MAHITAJI YA ROUTER BORA AMBAZO HAZISUMBUI AU KUPUNGUZA SPEED KATIKATI YA MWEZI, ZENYE SPEED KUBWA NA BEI NZURI NICHEKI WHATSAPP AU NORMAL CALL
0717700921

AU NITUMIE MESSAGE
0655555124
 
Nifanyeje kuuza akses bila kubadili password?
Nicheki nikuelekeze hatua kwa hatua pia kuna jinsi ya kumsetia mtu limit ya mda mfano akitumia masaa matano inajikata yenyewe bila hata wewe kwenda kumtoa, nipigie nikuelekeze bure
 
Wanaohitaji niwaelekeze kumuwekea mtu muda wa kutumia wifi pia karibuni , yani mfano ukimuwekea mtu masaa 12 yakishaisha inajizima yenyewe, pia jinsi ya ku control wifi yako hata kama uko mbali sana mfano upo mwanza ila unataka kuangalia nani kajoin kwenye wifi yako iliyopo dar nani umtoe nani umuadd nk. Hayo yanawezekana contact us: ZOYA internet; 0717700921
 
wifi ya ttcl ni kero yaani huwezi kubadirisha password kama mmiliki wa router mpaka uwapigie simu...yani internet yangu inachezewa mpaka nasikia vibaya...soon naachana nayo kwa hilo tatizo
 
Njoo nikuelekeze BURE hakuna linaloshindikana kubadilisha pasword ni simple mbona 0717700921
 
Mi natumia airtel. Admin nina nguvu kweli kweli.. mtu aki scan tu kwa mwenzake.. nawatoa wote kimya kimya
Kuwatoa sio solution yani unakua kama mtu anae acha mlango wazi kisha anakaa kuwafukuza kuku wasiingie😂

tengeneza whitelist Ili watu usiowahitaj wasipate access ya internet hata wapewe password.
Nicheki hata sasa hiv nikuelekeze jinsi ya kudhibiti wanaotumia njia ya ku scan kutumia wifi yako
 
Back
Top Bottom