Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,772
- 25,413
Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Huyu hawezi kuwa KIU,yaani mwanafunzi wa medical school awe anaandika hivi??duh!! Ndio Kuna wasomi wajinga wa kiwango hicho ?
Huyu hawezi kuwa KIU,yaani mwanafunzi wa medical school awe anaandika hivi??
Hahaha,, Analipiwa gharama za masomo na wazazi wake huyoDuh
Alieelewa anihadithie kwa kifupi!
This is pure madness!
Ooh basi haina shidaHivi vya ghorofa ya tatu mkuu
Nukta, nukta mkato, alama za funga na fungua semi, aya...... Anatakiwa kurudi shule ya msingihongera sana mwanachuo ila jifunze matumizi ya "h" haistahili kuwepo kwenye baadhi ya maneno.
Mwana yupo speed hatariMwanzo mwisho, hamna nukta wala mkato[emoji13][emoji13][emoji13]
Sijui, mi nimewaza ni chuo gani kipo gomzduh!! Ndio Kuna wasomi wajinga wa kiwango hicho ?
Nadhani ni hicho hicho. .binafsi nakifahamu hicho tuSijui, mi nimewaza ni chuo gani kipo gomz
UDSM? UDSM huwa inafunga ili watu wakale iddi?Inamaana kweli UDSM ndo elimu yao imefika hapa?
Najaribu kuwaza hiyo kozi unayo soma nimechoka mimi
Kwa mwandiko huo kweli we wakuja. Mwanachuo hujui pa kuweka nukta wala mkato? [emoji16][emoji23]Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Hahahaha Bora angetiririka lugha yetu tu... Ila hayo maneno "YOU ARE" na "YOUR" hata Mimi huwa yananichanganya naweza nikatulia hata sekunde tatu nafikiria lipi ni sahihi kulingana na sentensi ninayokusudia kuandika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaaaah!,u-much know ukizidi nao ni shida.....si vibaya pia tukiendelea kukumbushana kwenye utofauti wa baadhi ya maneno kiuandishi na Matumizi yake kulingana na sentensi husika.
Jitahidi kutochanganya maana na matumizi ya;-
"YOUR" na "YOU ARE"
Kampala International University a.k.a KIUSijui, mi nimewaza ni chuo gani kipo gomz
Yaani nimesoma bila kituo mpaka pumzi imenikata...Wakuu kheri ya iddi
kuna mkasa mrefu sana juu ya jamaa flani tumesoma wote chuo hapa jijini dar es salaam huyu jamaa ni masaki plus oysterbay equal wakishua sana dharau nyingi kwa sisi tunaotoka gongo LA mboto inshort huyu jamaa ni mtu mwenye midharau kiwango cha flyover juzi kati kabla hatukufanga chuo kwaajili ya sikukuu c jamaa aliniabisha sana mbele ya wadau (washikaji) kwa maneno ya dharau nini kisa tulikua tumesimama eneo ambalo ame parking gari yake huyu jamaa hapa chuo kuna demu flani hv uwaga wapo karibu mno na jamaa hakuna ajuaye kama anafukuzia au ndio anakamatia mzigo hukicheki demu yupo fresh tu figure daz baba namba 8 basi jamaa baada ya kusepa na gari yake mara gafla akatokea demu ambae yupo na mazoea nae basi na mm kwa utani utani hv wa hapa na pale nikaomba namba za yule demu akanipa kufika mida ya saa moja nipo home nikampigia kiutani utani hivi swagger za kichokozi yule dada si hakaja ghetto gongo LA mboto Jana kula iddi aise hakajumika na familia yangu leo amekuja mida hii yupo na kusepa amegoma anataka kulala hapa hapa nawaza hivi jamaa hakisikia nimemkaza huyu demu si anaweza kujinyonga na dharau zake dah dharau sio fresh aise na jamaa ananionaga wakuja sana hapa dar es salaam
Umenikumbusha kale kawimbo kao ....katamu aiseeZION😀😀
Umeniwahi aisee .....nakapenda balaaZion wana kanyimbo kale sijui nani kawatungia.
[emoji3]Kampala International University a.k.a KIU