Dharau mbaya

Siku hizi kutunga wimbo wa bongofleva rahisi sana...watu hawaumizi vichwa tena
 
Unasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??

Mwanachuo kuandika hujui??
Hahahahah Yuko zoom
Halafu anajistukia
Relax kuzaliwa uswekeni si kosa lako
Na yeye kuzaliwa masaki ndo majaliwa yake
Piga kitabu uje uwe kama bashiteee
Makapuku yanajistukiaga sana
 
Nimecheka sana.......
Ujumbe ni dharau ila watu mnamshukia sana kuhusu uandishi, dah!
 
nigga aint the one who said you wanna marry a chagga girl?now i understand why you'd even ask that question in the first place cause u dont know how differentiate a hoe from a woman....in the first thread u say everyone is shocked to see you wanna marry a chagga girl its because shes the hoe to everyone and because your dumb you cant see it....but this scenario the girl you met at the parking lot, u took her number u called her and now she wants some dick...nigga you and the girl your both dumbs, and stop being cheap
 
Mmmmmh! Asante mpendwa nimeshiba.
 
So ukimla huyo demu -ndio itakuwa ume mdhalilisha huyo jamaa ??waweza kukuta huyo jamaa anamchukulia huyo demu kuwa demu wakawaida tu.... Ama kweli ujinga mzigo...
 
Hasante kwa mchango mungu hakubaliki sana hasa hanapogawa riziki zake....
 
Daaaaah!,u-much know ukizidi nao ni shida.....si vibaya pia tukiendelea kukumbushana kwenye utofauti wa baadhi ya maneno kiuandishi na Matumizi yake kulingana na sentensi husika.

Jitahidi kutochanganya maana na matumizi ya;-

"YOUR" na "YOU ARE"
 
Unasoma chuo??..chuo gani?? ..Amazon au??

Mwanachuo kuandika hujui??
Hahahahahah itakuwa Tandabuhi...... Wale jamaa wanakufungulia dunia kabisa. Ushindwe wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…