Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,499
Watoto wa mjini wajinga Sana. Akija mgeni hawampendi wanaenda washroom na kujisaidia bila ku flush.
Mama mwenye nyumba Kama ataingia toilet na kukuta gogo halija mwagiwa maji, hiyo ropoka yake lazima mgeni ukae mkao wa kurudi uliko toka.