Dhana ya uongo kuhusu Spika Ndugai


Hapo kwenye BOLD... Hivi ukiumwa leo, kesho huwezi kuwa na siha njema?
 
Hapo kwenye BOLD... Hivi ukiumwa leo, kesho huwezi kuwa na siha njema?
Oh sasa kwanini mnataka Ndugai awathibitishie kwamba amepona kabisa wakati anaoneka mwenye siha njema
 
Ifike Mahali hawa watu wanaowazushia watu mambo mabaya wachukuliwe hatua Kali
 
Waongo ni wengi japo huwaoni, kuna mwingine jana anasema ndani ya miaka2 vimejengwa viwanda zaidi ya elfu3!
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Kwani enzi za wahenga kulikuwa na lifti? Ni ukweli mtupu ulionena.
 
Onyesha kama spika anavidole vyote vya miguu yake!!!?
 
Nasikia anatembea "kang'a" "kang'a" "kang'a" kama roboti lililoisha betri
 
Onyesha kama spika anavidole vyote vya miguu yake!!!?
Nionyeshe kwani Mimi ndo spika?

Vidole awe navyo ama lah inaathiri vp utendaji wake?

Awenavyo au asiwenavyo wewe inakusaidia nini?

Huko Shuleni ulienda kusomea ujinga!

Kwa akili hizi za kushikiwa na Mange upinzani utakufa kabisa TZ.
 
Kwanza, miezi mitatu hospitalini si haba lazima jamaa alikuwa kweli anaumwa, pili hajaonyesha vidole vya miguu ili ithibitishwe kwamba havijakatwa hasa kwa kina Tomaso, lakini la muhimu kwake (na sio kwako)) mleta hoja) ni kwamba ajiulize ni kwanini watanzania baadhi kama sio wengi wafurahie kuumwa kwake na wakadiriki kumtakia mabaya zaidi????
 
Wewe nawe! Unasadifu hoja yangu kuhusu passive thinker.

Kwani nafasi ya mbele alikuwa Diamond.

Unasikia tu kwenye mitandao bila kutafuta ukweli halafu unabeba na kufanya hoja.
Kama umetumia habari za Diamond [na Zari?] kuimarisha hoja yako in negative way, kwanini unabeza reaction ya hoja inayojengwa kumtumia Diamond huyo huyo kupewa nafasi ya kusikilizwa na mkuu wa nchi katika event kama hiyo? Unafikri ni kwanini picha ya Diamond akiteta na Rais ilipewa nafasi kubwa na media? Kufikiri katika "passive thinking" sio tu ni suala linalohusu kuelimika kwa kwa mtu, vinginevyo wewe mwenyewe usingeleta hoja hii hapa, kwani kwa kufanya hivyo umethibitisha kuwa na wewe ni "passive thinker" tu! Utabebaje mambo ya kipuuzi ya mitaani utuletee hapa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…