na nyinyi bado mnaimba ni fisadi lakini mnaogopa kumfikisha mahakamani na badala yake mwenyekiti wa ccm anamkaribish ikulu na kumsifu!!!Ndio hao hao walituaminisha lowassa ni fisadi na jizi kuliko yote nchini na hafai kuwa raisi tanzania ni najisi ikulu!
Salute kwa waliotaka awe raisi ilihali walisema anafaa kuchomwa moto!na nyinyi bado mnaimba ni fisadi lakini mnaogopa kumfikisha mahakamani na badala yake mwenyekiti wa ccm anamkaribish ikulu na kumsifu!!!
Hii ni dunia ya teknolojia mkuu!Yaliyosemwa kuhusu Spika Ndugai yamenifanya nikubaliane na wahenga waliosema, uongo hupanda lifti na ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa.
Spika Ndugai wa leo sio yule ambaye watu waliaminishwa uongo kupitia mitandao ya kijamii.
Katika suala ambalo nchi yetu inapiga hatua kwa haraka ni maendeleo katika fani ya uongo na udaku.
Udaku umewafanya hata wenye elimu ya chuo kikuu wakawa hawana tofauti kifikra/kimtazamo na mtu ambaye hakubahatika kuingia na kusoma kwenye darasa la kwanza.
Wakati inafahamika kuwa mhitimu wa chuo kikuu ni critical thinker, wahitimu wengi wa Tanzania ni passive thinker. Hawa ni wale wanakubali tu kila linaloibuka kwenye jamii au mitandao bila kujiuliza kwa undani zaidi.
Haishangazi kuona habari kama za Diamond Platnumz, Zari na Wema zinajadiliwa zaidi in face value kuliko hata habari za kiuchumi.
Mtu anaanzisha habari ya uongo kuwa Spika Ndugai kwa sasa hana hata vidole kwenye mikono halafu watu wanaanza kumsifia na kumpongeza eti kwa kupata habari hiyo mapema kabla hata ofisi ya Spika haijatoa ukweli.
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea! Juzi tumemuona bungeni akila kiapo.
Kwa fikra hizi zinazochagizwa na udaku sishangai kuona Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanajazana nchini ili kuchangamkia fursa ambazo zinaonekana kwa watu ambao ni critica thinker na sio passive thinker.
Mtu mwenye passive thinking hana tofauti na nyumbu(herd mentality).
Wewe Nyani la Trump tulia sio ukate miono kama wakina snura hapaUsihamishe magoli.
Wewe ulimvua viatu?
Mkuu
Hawa kina Yomboo na Swiss me wangekuwa na uwezo wangekunyamazisha!
Kwa sasa wanaku provoke ili upate ban lakini adhabu unayowapa ni kudharau wanachokiandika.
Ninajua wanafanya hivyo ili upate ban kutokana na kipigo cha hoja unachowapa bavicha mara kwa mara.
Wakati wa mahojiano kaonyesha Vidole vya miguu au!?
Mkuu
Hawa kina Yomboo na Swiss me wangekuwa na uwezo wangekunyamazisha!
Kwa sasa wanaku provoke ili upate ban lakini adhabu unayowapa ni kudharau wanachokiandika.
Ninajua wanafanya hivyo ili upate ban kutokana na kipigo cha hoja unachowapa bavicha mara kwa mara.
Umetumia mahojiano kupima ukweli wa taarifa yao? Na wewe ni great thinker eeh? Kama sijasahau nilisikia km vya miguuni hv,hebu fuatilia critical thinker mi nipo naosha kiwanda changu nianze kukamua sharubati sahv.Yaliyosemwa kuhusu Spika Ndugai yamenifanya nikubaliane na wahenga waliosema, uongo hupanda lifti na ukweli hutumia ngazi kuwafikia walengwa.
Spika Ndugai wa leo sio yule ambaye watu waliaminishwa uongo kupitia mitandao ya kijamii.
Katika suala ambalo nchi yetu inapiga hatua kwa haraka ni maendeleo katika fani ya uongo na udaku.
Udaku umewafanya hata wenye elimu ya chuo kikuu wakawa hawana tofauti kifikra/kimtazamo na mtu ambaye hakubahatika kuingia na kusoma kwenye darasa la kwanza.
Wakati inafahamika kuwa mhitimu wa chuo kikuu ni critical thinker, wahitimu wengi wa Tanzania ni passive thinker. Hawa ni wale wanakubali tu kila linaloibuka kwenye jamii au mitandao bila kujiuliza kwa undani zaidi.
Haishangazi kuona habari kama za Diamond Platnumz, Zari na Wema zinajadiliwa zaidi in face value kuliko hata habari za kiuchumi.
Mtu anaanzisha habari ya uongo kuwa Spika Ndugai kwa sasa hana hata vidole kwenye mikono halafu watu wanaanza kumsifia na kumpongeza eti kwa kupata habari hiyo mapema kabla hata ofisi ya Spika haijatoa ukweli.
Spika tuliyeambiwa kwa sasa hana hata vidole vya mikono amehojiwa na Azam TV na kuonyesha kuwa uwongo hutumia lifti. Inashangaza zaidi kuona kuna watu bado wanaamini kuwa vidole vya Spika havina tatizo.
Ikumbukwe pia sio siku nyingi tuliaminishwa kuwa Mbunge Mtulia kwa sasa yuko kwa waganga wa kienyeji na hajiwezi hata kuongea! Juzi tumemuona bungeni akila kiapo.
Kwa fikra hizi zinazochagizwa na udaku sishangai kuona Wakenya, Waganda na Wanyarwanda wanajazana nchini ili kuchangamkia fursa ambazo zinaonekana kwa watu ambao ni critica thinker na sio passive thinker.
Mtu mwenye passive thinking hana tofauti na nyumbu(herd mentality).
Mwenezi wa Chama flani ameumbuliwa
Mange ni maarufu kwa bavicha kuliko katibu mkuu wao Mashinji, ndio kila asemacho mange ni breaking news kwa bavichaYaani unataka kuaminisha watanzania uongo wako
Swissme
Mange ni maarufu kwa bavicha kuliko katibu mkuu wao Mashinji, ndio kila asemacho mange ni breaking news kwa bavicha
Unafikiri unavyompikia wewe Mbowe basi kila mtu ni hivyo?Sawa mke wa polepole kapike sasa jamaa anatoka lumumba sasa
Swissme
Unafikiri unavyompikia wewe Mbowe basi kila mtu ni hivyo?
Pole sana kijana acha huo mchezo..
Alafu kutangaza tabia yako hapa usikifirie kama tutakufuata PM, hupati mtu hapa.
Mange Kimambi, pia alidai ana umeme. Na makamanda humu ndani jf walikuwa wanatiririka kwa furaha sana.Duh!
Kuna mtu allizusha Spika Ndugai hana vidole?
Aisee!!!